Dexta
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 2,324
- 5,812
Beerš»Monde ni nini?
Beerš»Monde ni nini?
Yes kg 91Una uzito mkubwa?
šššššNimeshindwa kuacha kuweka mkono kwenye poumbu zangu usiku nikiwa nimelala
Mkuu alidaka mimba Tena ilikiwa mapacha sema ikawa bahati mbaya iliharibika, anasema bila Mimi eti hawezi kiishišMkuu Pima DNA unaweza kuwa na mtoto mwingine naye.
Ila shimba daaah ššššš hapo ushamaliza
Huyo jamaa hapo daah hataree na nusuMie sio kwamba napania kuangalia. No! Naangalia mambo mengine ikishatokea sii-forward.
Watu kama hao ndiyo wanawafanya vijana wenye harakati kama ya "KATAA NDOA" kua na sababu zenye mashiko kwenye Agenda yao.. wanakatisha tamaa sana watu kama hawa.Mkuu Pima DNA unaweza kuwa na mtoto mwingine naye.
Mkuu unafikiri napenda hii Hali ikikuvaa, hupindui nachojitahidi ni nisiwesababu ya kuwaachĆ nisha maana many times mwanamke alishatishia Kuomba TALAKA ila namjenga kisaikolojia anatulia, mkuu hivi viumbe unaweza. Ukavipa Dunia mzima na Bado ukasalitiwa, Kwa Mimi binafsi Sina Imani kbs na kiumbe anaeitwa Hawa!Watu kama hao ndiyo wanawafanya vijana wenye harakati kama ya "KATAA NDOA" kua na sababu zenye mashiko kwenye Agenda yao.. wanakatisha tamaa sana watu kama hawa.
Huyu lazima tu ana mtoto na huyo mwanamke imagine muda wote huo anachepuka nae 20 yrs, alafu kule mwamba ukute anajivunia kua ana mke na watoto..
safari lager dah šBia ya Safari asee!! yeye ndo mgomvi Kwa sababu aliikuta !!
Mwanamke ndiye mjinga tu...imagine unakosesha ndoa yako furaha kisa mume wa mtu. Binafsi nikichepuka sitaki mwanamke ninayechepuka naye anipende au nimpende maana najua madhara yake.Watu kama hao ndiyo wanawafanya vijana wenye harakati kama ya "KATAA NDOA" kua na sababu zenye mashiko kwenye Agenda yao.. wanakatisha tamaa sana watu kama hawa.
Huyu lazima tu ana mtoto na huyo mwanamke imagine muda wote huo anachepuka nae 20 yrs, alafu kule mwamba ukute anajivunia kua ana mke na watoto..
KuchepukaKila mmoja ana mambo kadhaa ndani ya mahusiano ambayo yanamkera mpenzi wake. Ila kuna lile limoja kabisa umeshindwa hata kupunguza.
Share experience tujifunze kutoka kwako.
Binafsi: Nimeshindwa kuacha kutazama statuses whatsapp + reels za IG za wadada wenye mishepu yao. Kila nikijaribu nikiangalia reel ya kuelimisha mara pap kalio hilo...macho nayo siunayajua yanaangalia...Kisha history inabaki niliangalia . App zimeshadelete-wa mara kibao.
Spendi kuangalia ila ikitokea macho yananiambia angalia uone mwisho wapi.
Wewe kipi umeshindwa kuacha??
Mimi nikiwa me nitachukia vipi ke kuangalia hayoWewe ke au me?