Ni jambo gani mpenzi wako amekuwa akilipigia kelele lakini umeshindwa kuacha?

Kupunguza kikosi cha michepuko, nikitema mmoja baada ya muda najikuta nimesajili wawili
 
Yule kijana Alikuwa na tabia kama zako japo sikuwai kumwambia ila nilikuwa naumia kindanindani

Ukiingia Instagram unakuta amelike kabisaa wadada wakaa uchi na wanajichekesha kudadekii

Haya bhn
 
Mkuu Pima DNA unaweza kuwa na mtoto mwingine naye.
Watu kama hao ndiyo wanawafanya vijana wenye harakati kama ya "KATAA NDOA" kua na sababu zenye mashiko kwenye Agenda yao.. wanakatisha tamaa sana watu kama hawa.

Huyu lazima tu ana mtoto na huyo mwanamke imagine muda wote huo anachepuka nae 20 yrs, alafu kule mwamba ukute anajivunia kua ana mke na watoto..
 
Mkuu unafikiri napenda hii Hali ikikuvaa, hupindui nachojitahidi ni nisiwesababu ya kuwaachĆ nisha maana many times mwanamke alishatishia Kuomba TALAKA ila namjenga kisaikolojia anatulia, mkuu hivi viumbe unaweza. Ukavipa Dunia mzima na Bado ukasalitiwa, Kwa Mimi binafsi Sina Imani kbs na kiumbe anaeitwa Hawa!
 
Yule kijana Alikuwa na tabia kama zako japo sikuwai kumwambia ila nilikuwa naumia kindanindani

Ukiingia Instagram unakuta amelike kabisaa wadada wakaa uchi na wanajichekesha kudadekii

Haya bhn
Wewe ke au me?
 
Watu kama hao ndiyo wanawafanya vijana wenye harakati kama ya "KATAA NDOA" kua na sababu zenye mashiko kwenye Agenda yao.. wanakatisha tamaa sana watu kama hawa.

Huyu lazima tu ana mtoto na huyo mwanamke imagine muda wote huo anachepuka nae 20 yrs, alafu kule mwamba ukute anajivunia kua ana mke na watoto..
Mwanamke ndiye mjinga tu...imagine unakosesha ndoa yako furaha kisa mume wa mtu. Binafsi nikichepuka sitaki mwanamke ninayechepuka naye anipende au nimpende maana najua madhara yake.
 
Kila mmoja ana mambo kadhaa ndani ya mahusiano ambayo yanamkera mpenzi wake. Ila kuna lile limoja kabisa umeshindwa hata kupunguza.

Share experience tujifunze kutoka kwako.

Binafsi: Nimeshindwa kuacha kutazama statuses whatsapp + reels za IG za wadada wenye mishepu yao. Kila nikijaribu nikiangalia reel ya kuelimisha mara pap kalio hilo...macho nayo siunayajua yanaangalia...Kisha history inabaki niliangalia . App zimeshadelete-wa mara kibao.

Spendi kuangalia ila ikitokea macho yananiambia angalia uone mwisho wapi.

Wewe kipi umeshindwa kuacha??
Kuchepuka
 
Back
Top Bottom