Mie sio kwamba napania kuangalia. No! Naangalia mambo mengine ikishatokea sii-forward.Ulichoshindwa wewe kuacha nazani hata Shimba ya Buyenze alishindwa..😂😂😂😂
😂😂 Naangalia lakini naona sio vipaumbele vyake yeye ugomvi wake Beer!!Mkuu hizi reels za makalio huwa unazipitaje wewe?