Ni jambo gani unatamani ungepata majibu toka kwa kiongozi wako wa aina yoyote ndani ya 2023 ambalo linaongoza kukukera toka 2022?

Escrowseal1

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2014
Posts
4,618
Reaction score
4,605
Binafsi the most irritating question ambalo nimevuka nalo ni;

1. KADCO ni ya serikali ama si ya serikali? Hili swali linanisumbua sana japo likajitokeza la nyongeza huku tukiwa tunakatiza mwaka nalo ni, KADCO ikitoa ufafanuzi inaongea kwa niaba ya serikali ama kwa niaba yake?

Mwenye most irritating swali ambalo halikujibiwa na mamlaka sawasawa mwaka jana aweke tu hapa tujikumbushe, labda zitarudi ndani ya huu mwaka zitujibu.
 
Mimi nina maswali haya kuhusu reli zetu;
1.. Mabehewa ya treni yaliyokuja ni mapya au ya mtumba..!?

2. Mabehewa ya treni yaliyoletwa ni ya SGR (Starndard Gauge Railway - 1435mm upana kati ya mataaluma) au MGR (Meter Gauge Railway - 1000mm upana kati ya mataaluma) ?

3. Hayo mabehewa ya kufanyia majaribio reli, ikionekana reli ipo sawa, yatatumika kusafirishia abiria? Na ikionekana haipo sawa, nini kitafuata?
 
Binafsi the most irritating question ambalo nimevuka nalo ni;

1. KADCO ni ya serikali ama si ya serikali? Hili swali linanisumbua sana japo likajitokeza la nyongeza huku tukiwa tunakatiza mwaka nalo ni, KADCO ikitoa ufafanuzi inaongea kwa niaba ya serikali ama kwa niaba yake?

Mwenye most irritating swali ambalo halikujibiwa na mamlaka sawasawa mwaka jana aweke tu hapa tujikumbushe, labda zitarudi ndani ya huu
Mimi nina maswali haya kuhusu reli zetu;
1.. Mabehewa ya treni yaliyokuja ni mapya au ya mtumba..!?

2. Mabehewa ya treni yaliyoletwa ni ya SGR (Starndard Gauge Railway - 1435mm upana kati ya mataaluma) au MGR (Meter Gauge Railway - 1000mm upana kati ya mataaluma) ?

3. Hayo mabehewa ya kufanyia majaribio reli, ikionekana reli ipo sawa, yatatumika kusafirishia abiria? Na ikionekana haipo sawa, nini kitafuata?
Hii ishu bado muafaka wake haujajulikana,tusubiri maamuzi ya bunge na serikali
 
Back
Top Bottom