Ni jambo jema kuona hata wana CCM wamechangia Lissu apate gari, pia inatufanya tuwafahamu viongozi wenye roho mbaya na chuki

Ni jambo jema kuona hata wana CCM wamechangia Lissu apate gari, pia inatufanya tuwafahamu viongozi wenye roho mbaya na chuki

Katika hali hiyo pia tumeona vijana wadogo waliopewa uongozi wanatoka adharani na kupinga asipewe michango. Ukiwauliza aliwakosea hakuna mwenye majibu. Lakini pia ukiwauliza endapo angefariki wangenufaika nini majibu hakuna.
Hahaha kazi kweli kweli
 
Michango ya kununua gani la Lisu imewafanya wana CCM wacha Mungu waamue kutoa pesa zao kama sadaka ya kufuta dhambi iliyotendwa kwa kiumbe hiki kisicho na hatia.

Wapo waumini wa kanisa moja walifunga na kuomba apone lakini wapo waliotamani asiwepo hai. Ukiwauliza Lisu kuwakosea nini hakuna mwenye majibu. Ukiwauliza ni kipi amewahi kuibia nchi au kosa gani alifanya dhidi yao majibu hakuna.

Katika hali hiyo pia tumeona vijana wadogo waliopewa uongozi wanatoka adharani na kupinga asipewe michango. Ukiwauliza aliwakosea hakuna mwenye majibu. Lakini pia ukiwauliza endapo angefariki wangenufaika nini majibu hakuna.

Hali ipo pia kwa viongozi wengine wengi na baadhi yao wamejitokeza adharani kuonyesha chuki yao. Kibaya zaidi watu hawa wanahubiri mshikamano na upendo kila siku ila matendo yao yamejaa ubinafsi.

Nichukue fulsa hii kuwaomba binadamu wenzangu usifundishwe kumchukia mtu. Ni hatari sana kuwa na viongozi wanaolaani mauaji na matendo mabaya yanayofanywa nje wakakaa kimya kwenye matendo ya ndani.

Niwaombe viongozi wa dini, toeni sadaka kwenye eneo hili kuiepusha nchi na adhabu ya Mungu. Mnaweza mkakaa kimya kwa sababu mnawaogopa watawala lakini ipo siku watoto wenu watafanyiwa haya. Ni rahisi sana kurithi dhambi pale ambapo wazazi watashindwa kuomba toba.

Tubuni kwani yawezekana walioshiriki kumpiga lisasi ni watoto wenu viongozi wa wadini. Duniani kuna siri kubwa, tuombe msamaha hasa kwa yale ya silini
Tutamchangia lissu. Yeye ni alama ya upendo katika nchi

Huko tuenako tutaifumua hii nchi na kufuma upya kuleta uhuru haki na uwajbikajii
 
kujilipa kwa fedheha kwa kuombaomba nayo ni aibu sana ndugu zangu, lakini ndio mazoea yalivyo...

Tumuombe Mungu bila kuchoka, hawa wengine tunawabebesha mzingo wasiyostahili kwakweli :BASED:
Hakuna aliyelazimishwa kutoa,na wazo hilo limetoka watu waliyoguswa na madhila aliyopitia. Kama hujaguswa wewe kausha tu hakuna mtu atakugongea mlango kuomba mchango wako.
 
Hakuna aliyelazimishwa kutoa,na wazo hilo limetoka watu waliyoguswa na madhila aliyopitia. Kama hujaguswa wewe kausha tu hakuna mtu atakugongea mlango kuomba mchango wako.
kuepuka mazoea haya ya kuombaomba na kuchangiwa mara kwa mara, ambayo kwakweli sio tabia nzuri kwa mtu mzima, ni muhimu zaidi kujifunza kujitegemea kwa kufanya kazi kwa bidii, ili kujiogezea kipato na mali zitakazo epusha usumbufu kwa jamii na fedheha kwa familia na Taifa kwa ujumla :BASED:
 
Mmeanzia kuchangia usenge sasa ila anyways kila mtu na mawazo yake.
 
nasisitiza kumuomba Mungu sana ndugu zangu,

lakini pia kufanya bidii na kujishughulisha na masuala mbalimbali ya kujiongezea kipato kama vile kilimo, ufugaji, biashara n.k ili kusudi tuondokane na aibu na fadheha kama hizi zinazotia huruma, aibu binafsi, fedheha kwenye familia, fedheha kwenye jamii, fedheha kwa marafiki, fedheha kwa wanachama, fedheha kwa vyama au taadisi zetu za kisiasa na Taifa kwa ujumla :BASED:
Tundu Lissu hana njaa kama wewe na bado tutachanga kumuongezea zingine hata kama akienda kuhonga mchepuko ni yeye ila jukumu la kumchangia kwa wale tulio tayari ni letu na tusipangiwe na mtu matumizi ya fedha zetu
 
kuepuka mazoea haya ya kuombaomba na kuchangiwa mara kwa mara, ambayo kwakweli sio tabia nzuri kwa mtu mzima, ni muhimu zaidi kujifunza kujitegemea kwa kufanya kazi kwa bidii, ili kujiogezea kipato na mali zitakazo epusha usumbufu kwa jamii na fedheha kwa familia na Taifa kwa ujumla :BASED:
Lissu anajiweza ila tunachangia kwa ajili ya kumsaidia kuratibu kwa uwepesi shughuli za uokozi wa nchi hii dhidi ya kuuzwa na madalali
 
Nchi ya ajabu sana hii.
Akiwa kitandani lisu aliitwa majina mabaya na ya kufedhehesha mno.aliporwa mpaka ubunge ili kumfurahisha mkubwa " ati sijui alipo" sasa aliyempora yupo wapi?
TUTACHANGA
Cc: Job Yustino Ndugai.
 
H
Ni vizuri kuomba bila kuchoka wala kukata tamaa na kwakweli tumuombe Mungu zaidi, lakini zaidi sana tuwanzingatie na kuwahurumia na tunaowaomba ndugu zangu......

sasa hii inatofauti gani na wale wa kukamua maskini wanyonge kijajanja kwa kuwahadaa na miujiza kwemye maeneo ya maombezi mbalimbali kwa manabii wa kisasa au sasa hivi unabii umeingia hadi kwenye siasa? :whatBlink:
HUnaga akili
 
kuepuka mazoea haya ya kuombaomba na kuchangiwa mara kwa mara, ambayo kwakweli sio tabia nzuri kwa mtu mzima, ni muhimu zaidi kujifunza kujitegemea kwa kufanya kazi kwa bidii, ili kujiogezea kipato na mali zitakazo epusha usumbufu kwa jamii na fedheha kwa familia na Taifa kwa ujumla :BASED:
IMG_20240519_121012.jpg
 
Lissu anajiweza ila tunachangia kwa ajili ya kumsaidia kuratibu kwa uwepesi shughuli za uokozi wa nchi hii dhidi ya kuuzwa na madalali
inafahamika ana jiweza ana afya njema ana uwezo wa kufanya kazi ila sasa mazoea haya ya hovyo sijui ameyapata wapi, Dodoma eee kwa jirani zake?

aibu sana,
yaani kaisha pona, kalipwa mishahara yote, kalipwa marupurupu yake yote, kalipwa pesa ya matibabu, kalipwa kiunua mgongo, kufadhiliwa mambo kibao na mabwenyenye for Free 🤣

hivi kweli hakujua atahitaji gari ya kufanyia kazi na majukumu yake 🤣

Ladies and gentlemen,
wahenga walisema,

"Mazoea yana Tabu"
ndio hii sasa na mtu anatetea kabisa aibu na fedheha hii dah 🐒
 
Back
Top Bottom