Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Hahaha kazi kweli kweliKatika hali hiyo pia tumeona vijana wadogo waliopewa uongozi wanatoka adharani na kupinga asipewe michango. Ukiwauliza aliwakosea hakuna mwenye majibu. Lakini pia ukiwauliza endapo angefariki wangenufaika nini majibu hakuna.