Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Kuna video moja nimeona ambayo mchungaji mmoja simjui akimzungumzia swala la muimbaji wa injili matha na Joan kuwafuma wakifanya usagaji yeye matha alikiri kuwa ni kweli ni walikuwa kwenye mapenzi
Mchungaji alitumia neno "tuliwafuma live" inawezekana jirani walisikia sauti za mahaba ikabidi wasogee waone Kuna Nini ukawa ndio hivyo
Ishu iyo imenishtua sana lakini imenishutua zaidi baada ya matha kufumwa alisema neno "tupo wengi" tunafanya hivi vitendo.
Swali ni wakina nani hawa wanafanya laana hizi.
Siku za hivi karibuni nilimsikia mchungaji abiudi akisema Kuna waimbaji wanafanya ushoga.
Ishu ya matha imenifikirisha sana kama yeye alikiri kuwa wapo wengi bila shaka waimbaji wa dini mashoga wapo Je ni wakina nani hawa?
Ni rahisi kuwajua manabii wa uongo kama biblia ilivyosema.
Ila ni ngumu kuwajua waimbaji wa uongo sababu biblia haijawataja waimbaji feki
Jibu hili sasa nimelipata sasa ipo hivi manabii feki na waimbaji feki ni Pete na kidole hawatofautiani inaonekana Wana umoja wao hawachukui mtu nje ya mtu wao
Tuwachunguze sana Hawa waimbaji wanao hudumu kwenye mikesha ya injili ya manabii kama ni real au scam?