Ni jambo la hatari sana kuwa waimbaji wa dini wajenzi huru

Acha ujuaji au na wewe unasagwa.
Kizazi kimejaa laana hichi
 
Dini ni Scam, dini ni ujinga, dini ni chanzo cha ubaguzi na ni chanzo cha vita, dini huleta hofu kwa mwanadamu na kumnyima Uhuru aliojaliwa na Muumba.
Mimi ni mkristo Dini ya kikristo haijawahi kuwa ya ubaguzi
 
Nini maana ya wajenzi huru?
Bila shaka ni freemason.
Kuamini kuwa Martha ni freemason ni uzwazwa wa kiwango cha SGR.
Kuaminini kuwa kila shoga na msagaji ni freemason, ni upungufu wa akili.
 
Sio busara kuchafua watu mambo mengine kuwa mtazamaji tu.

Ikiwa hauna uhakika na jambo bora ukae kimya

Hao wachungaji 90% wanatafuta wafuasi wa kuwasikiliza na kupiga hela.
 
Do what makes you happy,achana na mambo ya watu,tatua changamoto zako mwenyewe.
 
Tena kile kinyama hakina thamani ya dhahabu eti tutetemeke watu kusagana,watajua wenyewe mbona tunaibiwa maeneo mengi tuu,tunapigwa riba mtaani sembuse hao wanakutanisha miili tuu,it's a small matter.
 
Hivi unafurahiaje matatizo ya mwenzio, halafu taarifa yenyewe ni speculation tuu. Watu tunapenda sana kuhukumu aisee na je umewahi hata kuwaombea katika Utumishi wao au tunasubiri mtu akosee tupate content?
 
Mwenye macho haambiwi tazama kinachofanyika kwenye industries ya muziki wa injili kinatia mashaka
Hivi unafurahiaje matatizo ya mwenzio, halafu taarifa yenyewe ni speculation tuu. Watu tunapenda sana kuhukumu aisee na je umewahi hata kuwaombea katika Utumishi wao au tunasubiri mtu akosee tupate content?
 
Waafrica wapo karibu na dini Ila hawapo karibu na MUNGU hii huwafanya kuhukumu watu bila ushahidi.
 
Rev Mdegela alisema kuna wahuni wamefichama makanisani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…