Ni jambo moja tu linaloweza kumfanya mwanaume kamili akalia

Tena upate zile nene imeumuka ka mkate wa bofulo uliochachushwa, ya motoooo na mafuta mafuta natural inakutaiti mbona chozi litakutoka tu bila kupenda ng'wanawane? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Twambombo wakuu!

Mwanaume kulia ni mwiko! Haipendezi mwanaume aliyekomaa kulialia. Hata hivyo lipo jambo moja linaloweza mfanya mwanaume alie kama mtoto mdogo, nalo ni kifo.

Kifo kwa wahusika wafuatao
1. Wazazi au mlezi
Mwanaume anaweza akalia kwa kifo cha mama au baba yake aliyemlea. Zingatia neno "kulea", unaweza ukawa baba au mama mzazi lakini kwa vile hukumlea mtoto basi mtoto asiwe na uchungu na wewe. Kifo kinauma hasa kwa mtu uliyemzoea na kumpenda.

2. Mke
Hii ndio habari nyingine kabisa. Mwanaume anaweza kulia kmtoto pale anapofariki mke aliyekuwa anampenda sana, aliyemzoea, waliofanya mambo mengi. Kinachoumiza zaidi ni kumbukumbu zilizopita. Dooh!

3. Mtoto kipenzi
Mwanaume anaweza kulia ikiwa mtoto wake kipenzi atafariki. Ni kawaida mzazi kupenda watoto wote lakini lazima yupo mtoto mmoja unayempenda zaidi. Mtoto wa baba. Kipenzi cha baba akifa, baba hulia sana. Yakobo alivyoletewa habari ya kifo cha kutungwa cha Yusufu alilia. Daudi alivyosikia kijana wake aitwaye Amnoni ameuawa alilia.

Mtoto kipenzi akifa inaweza mfanya baba akachanganyikiwa. Lakini zaidi ya hapo hakuna kitu kingine kitakachomfanya mwanaume aliyekomaa kulialia kama mjinga tena mbele za watu.

Mwanaume hatoi machozi isipokuwa jasho.
Mwanamke hatoi jasho isipokuwa machozi.

Ingawa kuna mazingira ya dharura kama kutekwa na kupewa mateso makali hii inaweza kumfanya mwanaume pia akalia. Lakini sio kitu kidogo tuu mwanaume mzima unalialia kama mtoto.

Sijui umeibiwa unalia.
Sijui umeachwa na mwanamke unalia kama boya hivi.
Sijui umedhulumiwa kiwanja au mshahara unalia. Unalia nini kama mtoto wa kike, take action.

Ni aibu kwa mwanaume kulialia kijinga jinga hata vitu havieleweki. Wengine tukiona unalia tunakuzaba makofi na mitama. Akili ikukae.

Taikon nipumzike!
Kwa sasa Dar es Salaam.
Sasa wewe wanaume wenzio wakilia unawaonea wivu kwa nini na wewe usilie hata Kama machozi huna uweke maji huko ulipo
 
Huyo uliyemzamilia kumshambulia kutoka moyoni kwa fasihi zako za kishamba umegonga mwamba hauwezi ukagombanisha watu kwa upumbavu wako......ndo watu Kama sisi tunakwambia urudi ukakae sawa ili uje tena kivingine
 
Kutekwa na kupata mateso hyo kitu haipaswi kukutoa machozi ...!

Ukiminywa mf pumbu Apo unapiga kelele za maumivu lakin chozi halipaswi kutoka.
 
Amnoni ndiye aliyetafuna umbu wa bro ake?
Wahuni wapo toka zamani.
 
Suala la Mapenzi mbona hujalitendea haki Kwenye Uzi wako mkuu? Namaanisha Mapenzi Kati ya KE na ME.
Maumivu ya Mapenzi baki kuyasikia tu kwa watu usiombe yakukute.Yameshawaliza wanaume wengine Sana Tena wenye pesa za kumwaga,wakalia kindezi.

Shikamoo Mapenzi!
Marahaba.
 
Back
Top Bottom