Ni jana tu walikuwa wakishangilia kuvamia Israel. Vilio vimeshaanza furaha imetoweka

General wa Israel amechomolewa na chupi pekupeku anapelekwa mkuku mkuku
 
Nasisitiza hakuna jipya,

Vilio kwa Palestina sio jambo geni, labda wewe ni mgeni wa mambo, unapofiwa lazima ulie, kikubwa lengo litabaki pale pale.

Ukitaka kujua angalia idadi ya vifo kwa Wapalestina miaka yote ni vingi lakini hawakati tamaa,
Basi yasilielie na kulalamika. Yaendelee kufurahi. Kama siyo geni Kwanini yanawndelea kulialia?

Mavi
 
Ndo dunia tulikofikia Huku?
Binadamu tunafurahia Anguko na Maumivu ya Binadamu wengine?

Tunafurahia Vifo na Kuteswa kwa Wengine!
Ama kweli yaliyotabiriwa kuhusu Upendo wa Wengi kupoa Sasa ynatimia!
 
Pika pilau leo kanisani kwa furaha Wayahudi ni wakristo wenzetu hawa.
 
Hakutakuwa na peace duniani kama bado kuna watu wanaonewa.

Suluhisho ni wote kuwa Waislam tu.
Hapana, hili suluhisho lako ni unattainable. Watu wote hawawezi kua Muslims na hata wakiwa Muslims bado pia wanaweza kupigana kama tunavyoona yemen n.k

To be specific on Palestine and Israel, hawa wayahudi feki lazima waheshimu mipaka na makazi ya Wapalestina.

Hata watumie nguvu gani, hawawezi kua na amani hata wabebwe vipi na USA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…