DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Ww unhisi kipi kitaleta amaniSomalia hakuna Mkristo hata mmoja lakini kutwa wanauwana unasemaje hili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ww unhisi kipi kitaleta amaniSomalia hakuna Mkristo hata mmoja lakini kutwa wanauwana unasemaje hili
UpendoWw unhisi kipi kitaleta amani
Nani kakuambia ni Wayahudi feki?Hapana, hili suluhisho lako ni unattainable. Watu wote hawawezi kua Muslims na hata wakiwa Muslims bado pia wanaweza kupigana kama tunavyoona yemen n.k
To be specific on Palestine and Israel, hawa wayahudi feki lazima waheshimu mipaka na makazi ya Wapalestina.
Hata watumie nguvu gani, hawawezi kua na amani hata wabebwe vipi na USA
Mwambie apite hivi,...Ushauri hatutaki😂😂Sasa ukiwa mkristo ndio iweje.
Kenge
Safi sana Napenda kuona bado watu Wana imani kma niliyo nayo mimi Ya upendo na AmaniUpendo
Ulivyoongea utadhani hao waarabu wanawapenda, hata hao waarabu wanawaona nyinyi waislam pori ni wa uku bara la giza ni manyani tu na kuwateme mimate mizito iliyochanganyikana na mirungi.. Unapigania watu wasiokutambua kama na wewe ni mtuNawashangaa watu mnaotemewa mpaka mate kwa ukristo wenu kuwashangalia watu wanaowaona kama mbwa.
We dada, kwani nani kakuuliza dini yako??!!.Mimi ni mkristu ila we jamaa hujui unachoandika.
Eiza huna akili au ni katoto ndio unabalehe.
Kwani kuwa nje ya uislam kunaathiri niniSuluhisho ni wote kuwa Waislam tu.
Huna akili na bahati mbaya unanishobokea Mimi ambae situmiagi vinyeo. Tafuta pengine ukakunwe achana na MimiWe dada, kwani nani kakuuliza dini yako??!!.
Ndo maana mnapata mi.mbaa za utotoni kwa sabb ya kiherehere!.
Sasa mtu amezaliwa vizazi na vizazi yuko Brooklyn USA, leo mjukuu anahamia Israel anampokonya mpalestina nyumba anasema wameahidiwa kwenye Torah.Nani kakuambia ni Wayahudi feki?
Una ushahidi?
Wayahudi halisi wako wapi?
Inasikitisjpha sana Mkuu, nilijua watu wanashabikia michezo kumbe wapo wanaoshabikia vifo vya wengineNdo dunia tulikofikia Huku?
Binadamu tunafurahia Anguko na Maumivu ya Binadamu wengine?
Tunafurahia Vifo na Kuteswa kwa Wengine!
Ama kweli yaliyotabiriwa kuhusu Upendo wa Wengi kupoa Sasa ynatimia!
Faizafoxy angekuelekeza andika hivi 'we need peaceful world than anything else'We need world peace more than anything else
Kama ni upande wa ardhi sawa, ila vinasaba vyao vinaonyesha kuwa wametokana na Israeli ya zamani, ukiachana na wale Ashkenazi Jews , Wayahudi wengine wote waliobakia ni halisi na pia kabila la Levi lipo hadi Leo.Sasa mtu amezaliwa vizazi na vizazi yuko Brooklyn USA, leo mjukuu anahamia Israel anampokonya mpalestina nyumba anasema wameahidiwa kwenye Torah.
We ungeachia iyo nyumba kirahisi? Better die in honor, i strongly against violence but i support the Palestinians efforts to stop this barbaric acts in the name of promised land.
Nyoo nyooo eti mimi mkristo. Sasa ukiwa mkristo iweje sasa?Huna akili na bahati mbaya unanishobokea Mimi ambae situmiagi vinyeo. Tafuta pengine ukakunwe achana na Mimi
Kwa kweli God bless Israel.Kama ni Ubaguzi, hakuna mbaguzi na mkatili na jitu lenye roho mbaya kama mwarabu...
Acha waipatepate kwanza, Amani itakuja baadae...
Na asilimia kubwa ya wale halisi hawakuhama na walikua wanaishi side by side for years,Kama ni upande wa ardhi sawa, ila vinasaba vyao vinaonyesha kuwa wametokana na Israeli ya zamani, ukiachana na wale Ashkenazi Jews , Wayahudi wengine wote waliobakia ni halisi na pia kabila la Levi lipo hadi Leo.