Ni jana tu walikuwa wakishangilia kuvamia Israel. Vilio vimeshaanza furaha imetoweka

Allah ni miungu ya kiarabu hivyo huyo Allah hana cha kufanya
 

View: https://twitter.com/siadevinci/status/1710890200417595596?t=iUNrYV_EDlw_39pgCIUAZw&s=19
 
Kwamba Allah amekula Kona 😁😁😁 Ila Israel ametoa kipondo kitakatifu , Hali ikiendelea hv hawa jamaa watabaki majivu
 
So Sad
 

Attachments

  • IMG_20231008_142320.jpg
    78.5 KB · Views: 1
uvamizi kwenye ardhi teule na kuua wateule

Dunia nzima hawatumii neno mteule. Pamoja na Israeli mwenyewe
anapoenda mbele ya dunia kujitetea, kujenga hoja ya kuwepo hapo walipo na kupoka eneo hilo toka 1967, kamwe hawatumii maneno ardhi teule, ya watu teule, tunawapiga Palestina kwa sababu sisi ni wateule.

Isipokuwa huku bara giza huku kwenye vijiji na vichaka vya third world ambako news za dunia hazifiki, mtandao hausomi, na ukisoma habari zenyewe zimeletwa na kuchambuliwa na Wachafu Media, Zuhura Yunus, Salim Kikekes of the world, kabla ya kuchujwa na kupitishwa na Nape Nauye. Vichwani lazima tuendelee kuwa deaf dumb and blind.

Ndio tunasmini Myahudi ni mteule. Kitabu chako mwenyewe, Torati ya Myahudi, huwezi kukitumia kusema mimi ni mteule, utaonekana zwazwa la dunia, bears repeating, hata Israeli mwenyewe hajiiti mteule, hakuna binadamu au dini teule kuliko nyingine.
 
Wanajifanya kutafuta huruma ya mashirika ya kimataifa kwa kupost wakijiliza. Ni mawazo yangu ,watu wanyamaze ,waliie hadi waseme hatudii tena .
 
Ndivyo ilivyoandikwa ,Wakati kulikuwepo mataifa mengine meeengi lakin Mungu alichagua Israel tena anasema watu wangu.
Walikosea anaruhusu wapigwe,lakini hatawasahau wakirudi anawatetea hata kama wako utumwani. Hili hilo huliondoi.
 
Ndivyo ilivyoandikwa
Ndivyo ilivyoandikwa, imeandikwa wapi, kwenye United Nations Charter ??????

Kitabu cha ma Buddhist kimeandika Myahudi ni Mteule ?

Kitabu cha Hindus kimeandikwa Myahudi ni teule ?
 
Nilimuuliza mtu humu 👇

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…