Dunia nzima hawatumii neno mteule. Pamoja na Israeli mwenyewe
anapoenda mbele ya dunia kujitetea, kujenga hoja ya kuwepo hapo walipo na kuwapiga na Palestina na kupoka eneo lao 1967, kamwe hawatumii neno ardhi teule, sijui ya watu teule.
Isipokuwa huku bara giza huku kwenye vijiji na vichaka vya third world ambako news za dunia hazifiki, mtandao hausomi, na ukisoma habari zenyewe zimeletwa na kuchambuliwa na Wachafu Media, Zuhura Yunus, Salim Kikekes of the world, kabla ya kuchujwa na kupitishwa na Nape Nauye. Vichwani lazima tuendelee kuwa deaf dumb and blind.
Kitabu chako mwenyewe, Torati ya Myahudi, huwezi kukitumia kusema mimi ni mteule, utaonekana zwazwa la dunia, bears repeating, hata Israeli mwenyewe hajiiti mteule, hakuna binadamu au dini teule kuliko nyingine.