Ni jana tu walikuwa wakishangilia kuvamia Israel. Vilio vimeshaanza furaha imetoweka

Ni jana tu walikuwa wakishangilia kuvamia Israel. Vilio vimeshaanza furaha imetoweka

Hawa watu waendelee hivyo hivyo, mi sipendi waache kupigana nataka mpaka mshindi apatikane ikibidi wapigane hadi tone la mwisho.
 
Hizi sizo vita vyetu, pelekeni ushabiki wenu kukomboa Bandari yenu inayokaribia kusalimishwa kwa DPW, manake yatayotokea baada ya DPW kuja kututawala yanaweza kufanana na haya majanga ya mashariki ya kati.
 
Ni jana tu wapalestina walishangilia na kufurahi uvamizi kwenye ardhi teule na kuua wateule na wengine kuwateka.

Sasa hivi ni vilio husikii tena nderemo. Licha ya vipondo vimekatiwa umeme na maji vimebaki kulialia. Allah naye kala kona na kuzama chaka.

Safi sana Benjamin Netanyau. Settle the score hata vitoto vyao viteketeze they're terror bred future terrorists. Waijitakia wenyewe. Hakikisha kila mteule mmoja aliyeuwawa mnalipiza kwa kuua magaidi 1000. Yote ni magaidi tuu kwaanzia mitoto, vijana hadi mizee. Pelekeni kilio.

No mercy

View attachment 2775237View attachment 2775238
Waliitaka Chai sasa wanalia inawaunguza, acha wapate malipo yao.
 
Kumbuka ratio ni 1:1000 kama tulivyozoea miaka yote
kwa safari hii, waisrael wengi ndio wamekufa, na wapalestina wanajua mapigo mengi yatakuja hivyo wamekimbilia mashuleni na kambi za UN. afadhali wamefanya hivyo ili wasiuawe. ila kuna mamia ya wapiganaji wa hamas wameuawa tayari. hawa ni makomandoo waliokuwa trained na iran kwa muda mrefu, sio watu wa mchezo mchezo, ni watu waliokomaa kwelikweli, ndio maana wameweza kuingia ghafla na kuua watu wengi na kuteka wengi. tunamshukuru Mungu amewasaidia israel wameshasimama imara tayari adui anachotafuta sasaidi ni kukimbia tu, wameshatake control. but hamas ya sasaivi sio ya kuwabeza, walikuwa makomandoo kabisa na ni watu hatari kupita kiasi. ajabu yake, mamia yao tayari wameshauawa na wengine wanateswa huko ili wamtaje Iran aliyewasaidia. baada ya hapo tutajua tunafanya nini na iran.
 
Gravitas wanatangaza sasa hivi:

Mfaransa katika waliouliwa Israel.

Huko Misri wayahudi wawili waliokuwa wakitalii wameuliwa pamoja na Mmisri aliofatana nao, wengine wakawa wanashangilia tukio hilo. Jionee:


View: https://youtu.be/dPo0C-m_vo0?si=pUrAyBMiudcpC35P

Nepalis wapo 10, wajeruman ni miongoni mwa wengi waliotekwa, wamarekani ni miongoni mwa mateka, wafaransa wapo kadhaa, kwa ufupi kuna mataifa zaidi ya 10 ambayo watu wake wameuawa na hamas na wengine kuwachukua mateka, wengine walikuwa wanafunzi.

i understand the frustration of hamas, of course hata ingekuwa Tanzania tungepambana hivyo hivyo,lakini sio kwa ardhi ambayo ushahidi wooote upo kwamba ni ya wayahudi. wanatakiwa wakubaliane waishi tu pamoja.mbona israel asilimia 18% ni waarabu tena ni waislam na wanapigana upande wa israel?
 
Wakati unafurahi au kushangilia upande mmoja katika vita, kwa upande wa pili shukuru wewe upo salama mahali ulipo na kuombea amani itawale maeneo ya vita na yasiwepo machafuko ya aina yeyote dunia hii...

hakika sikia msiba kwa mwenzako ila yasikukute
 
Ni jana tu wapalestina walishangilia na kufurahi uvamizi kwenye ardhi teule na kuua wateule na wengine kuwateka.

Sasa hivi ni vilio husikii tena nderemo. Licha ya vipondo vimekatiwa umeme na maji vimebaki kulialia. Allah naye kala kona na kuzama chaka.

Safi sana Benjamin Netanyau. Settle the score hata vitoto vyao viteketeze they're terror bred future terrorists. Waijitakia wenyewe. Hakikisha kila mteule mmoja aliyeuwawa mnalipiza kwa kuua magaidi 1000. Yote ni magaidi tuu kwaanzia mitoto, vijana hadi mizee. Pelekeni kilio.

No mercy

View attachment 2775237View attachment 2775238
We are all human being, although ur name relfect your joy!.....sielewi mtu unapofurahia kifo cha binadamu mwingine regardless our racism, religious or politics affiliation!
 
Uwe au usiwe mkatoliki, jisalimishe kwa muumba wako.

Hilo la hamas nadhani huelewi kuwa kila siku wanatimbwa wao.

Unafahamu kuwa nyerere, niaka zaidi ya 40 n nyuma alivunja uhusiano na wayahudi kwa ajili ya kuuliwa bila dababu wapalestina?
Na bado Wapalestina wakaungana na Idd Amin kwenye vita dhidi ya Tanzania

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Wanalia wapi wale, yale mayowe ni kuhamasishana. Watalia siku moja na ikifika nitakukumbusha kwe uzi huu.
 
Ila tuseme ukweli Israeli kapatikana nilikua naangalia hapa aisee mpaka sasa zaidi ya 700 wameshatangulia kwa baba . Naomba tu wale mateka wakina mama na watoto waachiliwe aise.
The human cost of the Israeli-Palestinian Conflict (deaths/injuries): documented by the UN:

2008:
Palestine [emoji1193]: 3,202
Israel [emoji1134]: 853

2009:
Palestine [emoji1193]: 7,460
Israel [emoji1134]: 123

2010:
Palestine [emoji1193]: 1,659
Israel [emoji1134]: 185

2011:
Palestine [emoji1193]: 2,260
Israel [emoji1134]: 136

2012:
Palestine [emoji1193]: 4,936
Israel [emoji1134]: 578

2013:
Palestine [emoji1193]: 4,031
Israel [emoji1134]: 157

2014:
Palestine [emoji1193]: 19,860
Israel [emoji1134]: 2,796

2015:
Palestine [emoji1193]: 14,813
Israel [emoji1134]: 339

2016:
Palestine [emoji1193]: 3,572
Israel [emoji1134]: 222

2017:
Palestine [emoji1193]: 8,526
Israel [emoji1134]: 174

2018:
Palestine [emoji1193]: 31,558
Israel [emoji1134]: 130

2019:
Palestine [emoji1193]: 15,628
Israel [emoji1134]: 133

2020:
Palestine [emoji1193]: 2,781
Israel [emoji1134]: 61
 
ofcourse wale wote wanalia ni innocent, hamas wanasababisha wale raia kuuawa.
Hakuna innocent mle ndani. Na hakuna anayelia wale hizo kelele huwa wanapiga hivyo hivyo siku zote. Mi nataka waendelee kurusha makombora yao mpaka Israel wakome.
 
Back
Top Bottom