Ni jiko gani la gesi lipo imara zaidi?

Ni jiko gani la gesi lipo imara zaidi?

Hapo mzee ongezea na Pressure cooker ya umeme (6.8L ni 130k)
Unaweka zako maharagwe, nyama n.k na unaweza kuhamishia kwenye gesi ukaunga. Unasahau shida zote na kama hauna jagi la umeme nunua (25k)
dah ! bonge la ushauri, pressure cooker sikua na idea nayo ila nitapita kkoo niulizie, haili sana umeme nikawekewa kikao ?? 😁😁
 
Sawa
Ila kumbuka kuuliza hivi inasaidia wengi sana.
Kama wewe unajua, wengine hawajui
yes yes, hasa vifaa vya umeme muhimu sana kupata ushauri, na hata kwenye maeneo mengine ya kimaisha, unatolewa mpaka ushauri wa kimahusiano itakua haya mambo ya darasani ??
 
dah ! bonge la ushauri, pressure cooker sikua na idea nayo ila nitapita kkoo niulizie, haili sana umeme nikawekewa kikao ?? 😁😁
Pressure cooker inapika mazagazaga mengi, maharagwe, njugu, mihogo, wali, makande, samaki, nyama n.k ila rice cooker inapika wali tu.
 
West point
Nikai
Kenwood

Top three...iwe jiko, rice cooker, pressure cooker, air frier, blender.

Kaa humo kama.hela sio tatizo.
Hizi zote zina official warranty sio ile ya mapichapicha.
 
nashukuru sana chief, nitaenda na nikai, nina bajeti ya 150k
 
Nilikua na tv mpya,ikaweka mstari ,katika kupeleleza nikaambiwa bidhaa zao magumashi..
Maybe kwenye Tv. Nina jiko lao kubwa naona matumizi ya gas liko slow & muonekano mzuri sana. ingawa sio mpishi wa kila siku, ila mtungi mdogo namaliza nao 3months.

Iliweka mstari kwanini? Mf mimi hisense ukiniuliza kitu chao kizuri. Naona ni microwave na friji. Tv kawaida tu

Kuna hawa sunder… nina kisabufa chao tokea 2020 nilichukuaga kwa 120K. Kina base nzuri, hakina kelele, sjui kilikuwaga OG. Ila hao hao sunder, siwezi kuchukua Tv yao sbb kwenye radio wamenifurahisha.
 
Hah sifa zote hizo kwa Sundar hii hii mkuu?? Vizuri hupendi heka heka za mziki mkubwa..watu tushafunga equalizer, amplifier,speaker kubwa,na sound proof juu,nyumba ya kupanga
 
Serious. Ni hiyo hiyo… sjui sasa za miaka hii ya 24,23,22… Nimeconnect na Tv… naona iko tu na utulivu, na sauti uwa naishia 35, base 30. Sijawahi fika sauti yake Max ya 60.
 
Hah sifa zote hizo kwa Sundar hii hii mkuu?? Vizuri hupendi heka heka za mziki mkubwa..watu tushafunga equalizer, amplifier,speaker kubwa,na sound proof juu,nyumba ya kupanga
😁😁😁😁😁 wapi huko
 
Back
Top Bottom