Ni jiko gani la gesi lipo imara zaidi?

Ni jiko gani la gesi lipo imara zaidi?

Hupiki eeeโ€ฆ mimi kuna sehemu nililiona
Looh! Bayaaa
siyo Nikai hilo, material ya ku-coat ile SS ndiyo mchawi,
nikisafisha tu na kitambaa chenye unyevu kama limetoka kwenye box vile
 
ooh ! kama una sound proof apo sawa, ata kama ni local ina absorb bado
Ulikua utoto tu,now hata sabufa Sina,nna Dre pill tu nilinunua zenji
1709281611565.jpg
 
Hapo mzee ongezea na Pressure cooker ya umeme (6.8L ni 130k)
Unaweka zako maharagwe, nyama n.k na unaweza kuhamishia kwenye gesi ukaunga. Unasahau shida zote na kama hauna jagi la umeme nunua (25k)
hivi majiko ya gesi ya hitachi siku hizi hawatoi tena e ! nilichek kkoo jana maduka mengi hawana !
 
Mangi na uchumi
Tafuta jiko kama hilo hapo ni simple halina vitu vingi na ni imara sana hutonunua tena jiko
Screenshot_20240301-112927~2.jpg
 
Hahah siku hizi kila mtu na uchumi kaka [emoji16].. bora kununua kitu OG ujue umemaliza.. thanks nitalichek [emoji120]
Tafuta regulator kama hii
Matumizi yanategemea na wewe mwenyewe
Lakini regulator ndiyo inapima kiwango cha gesi kinachotakiwa kifike kwenye jiko,jiko kazi yake ni kochoma tu gesi inayofika pale kwenye jiko
Kuna regulator zinapitisha kilo moja na nusu ya gesi kwa saa na kuna za kilo moja kwa saa huwa wanaandika kwenye maelezo ya regulator nadhani kuna za chini ya hapo kwa sababu regulator ziko za aina nyingi sana
Kwahiyo tafuta kwa wataalamu watakwambia ni ipi yenye matumizi rafiki zaidi ya hapo
Screenshot_20240301-115122~2.jpg
 
Back
Top Bottom