Ni jiko gani la gesi lipo imara zaidi?

Hupiki eee… mimi kuna sehemu nililiona
Looh! Bayaaa
siyo Nikai hilo, material ya ku-coat ile SS ndiyo mchawi,
nikisafisha tu na kitambaa chenye unyevu kama limetoka kwenye box vile
 
Hapo mzee ongezea na Pressure cooker ya umeme (6.8L ni 130k)
Unaweka zako maharagwe, nyama n.k na unaweza kuhamishia kwenye gesi ukaunga. Unasahau shida zote na kama hauna jagi la umeme nunua (25k)
hivi majiko ya gesi ya hitachi siku hizi hawatoi tena e ! nilichek kkoo jana maduka mengi hawana !
 
Mangi na uchumi
Tafuta jiko kama hilo hapo ni simple halina vitu vingi na ni imara sana hutonunua tena jiko
 
Hahah siku hizi kila mtu na uchumi kaka [emoji16].. bora kununua kitu OG ujue umemaliza.. thanks nitalichek [emoji120]
Tafuta regulator kama hii
Matumizi yanategemea na wewe mwenyewe
Lakini regulator ndiyo inapima kiwango cha gesi kinachotakiwa kifike kwenye jiko,jiko kazi yake ni kochoma tu gesi inayofika pale kwenye jiko
Kuna regulator zinapitisha kilo moja na nusu ya gesi kwa saa na kuna za kilo moja kwa saa huwa wanaandika kwenye maelezo ya regulator nadhani kuna za chini ya hapo kwa sababu regulator ziko za aina nyingi sana
Kwahiyo tafuta kwa wataalamu watakwambia ni ipi yenye matumizi rafiki zaidi ya hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…