Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani bei ya 15kg ni Tshs 45,000/= hapa DSM. Pia mimi natumia mkaa na gesi kwa matumizi tofauti naona vikiwa pamoja kuna unafuu mkubwa sana. Chai, uji wa mtoto, maji yakuoga ukiwasha mkaa inakula kwako kwani unatumia chinin ya asiliamia 50 ya nishati inayozalishwa lkn gesi unatumia 100% na hivyo kusave. Ukipika mboga ya shule ama makande kwenye gesi inakula kwako.
Kuna mtu kaongelea usalama, kwa kweli gesi ya sasa ni tofauti na zamani kwani kuna jerry (panya) alikula lile pipe la kupeleleka gesi kwenye jiko nikasikia harufu kali na kutafuta chanzo na kurekebisha ingekuwa ile ya zamani nafikiri tungeongea mengine sasa kwani ilichukua muda kugundua.

Hapo red.... nimejikuta natetemeka kwa hofu. Mungu apitishe mbali.
Sasa hivi na - "disconnect" kwenye mtungi kabla ya kulala naangalia kama wamefanya hivyo kwani nimeishatoa maelezo
Mbona sioni watu wakitaja majiko ya umeme?
Hahahaaaa