Ni jiko gani lina gharama zaidi kwenye matumizi kati ya la gesi na la mkaa?

Ni jiko gani lina gharama zaidi kwenye matumizi kati ya la gesi na la mkaa?

Bora gesi Mara mia ni cheap kuliko mkaa kwa Dar

BEI YA MKAA KWA GUNIA;
Dar - 45000
Dodoma - 40000
Mbeya - 25000
Mpanda - 15000

kuna maeneo wanaona mkaa ndio nafuu sana...
kuishi mjini nako gharama...
 
BEI YA MKAA KWA GUNIA;
Dar - 45000
Dodoma - 40000
Mbeya - 25000
Mpanda - 15000

kuna maeneo wanaona mkaa ndio nafuu sana...
kuishi mjini nako gharama...

Hyo kweli ila kwa dar wengi hununua kwa reja reja mfuko mweusi mdogo elfu mbili kwa Dar bora gesi ila mkoani ka mpanda bora mkaa
 
Me nakushaur tafuta majiko marefu ambayo utatumia mkaa wa mawe unadumu kidogo utakaanga chips nyingi na gase ktk jiko dogo kwaajili ya kupasha na kukaanga kuku,sausage na nk
 
hiyo disconnection kila siku nayo ni hatari sana:
* ile pipe inaweza kutanuka kirahisi mwisho wa siku gas itakuwa inavuja.
* si kila siku asubuhi ni wewe utakaye connect pipe so siku haupo mtu mwingine anaweza akaconnect vibaya gas ikawa inavuja.

Inasaidia chochote kama joto likizidi na mtungi ukalipuka???


Ni katika kujaribu kuondoa mianya yote ya hatari, hata hivyo nafanyia kazi ushauri hasa wa kuratibu hali joto ndani ya nyumba ilitakiwa mtungi ukae nje lkn naogopa wanaweza iba hata kama umechomelea vyuma kama ilivyotokea kwa jirani yangu.

Kuhusu pipe kutanuka na-disconnect kwenye "regurator" pale kwenye mtungi pipe haiguswi hata kidogo
 
Back
Top Bottom