Bora gesi Mara mia ni cheap kuliko mkaa kwa Dar
BEI YA MKAA KWA GUNIA;
Dar - 45000
Dodoma - 40000
Mbeya - 25000
Mpanda - 15000
kuna maeneo wanaona mkaa ndio nafuu sana...
kuishi mjini nako gharama...
hiyo disconnection kila siku nayo ni hatari sana:
* ile pipe inaweza kutanuka kirahisi mwisho wa siku gas itakuwa inavuja.
* si kila siku asubuhi ni wewe utakaye connect pipe so siku haupo mtu mwingine anaweza akaconnect vibaya gas ikawa inavuja.
Inasaidia chochote kama joto likizidi na mtungi ukalipuka???