Ni jina gani la "classmate" wako ukilikumbuka linakuvunja mbavu

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Rhoda hahaa huyu alikuwa bingwa wa kuibia kwenye mitihan halafu kusoma hajui basi anapoibia anaanzia hadi kwenye jina lako hahaaa duh mtihan ikiletwa unaitwa majina mara mbili
 
Bundala lufasinza basu(buluba )ukichukua herufi mbili za mwanzo za majina yake unapata jina la shule aliyo somea buluba secondary school.
 
Atupakisye Aturondile Kitaja

Sijui kama naweza kulisahau maana lilikuwa linanichekesha sana
 
Itikeni Kinyamasongo,BBA-Marketing,Iringa University
 
mocherege mongate mwenyewe alikua tukiwa nje ya shule tumuite brother k[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Zainabu manyaunyau
Zainabu Kufakunoga
Atugawie Tukitosheka
Kabinda SZ Kabinda
Bebo Sinakazi
Abel Keshomshahara
Josepgatt Ngombalemwiru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…