1. Balozi Balozi,
2. Chande S. Chande.
3. Leparakwo Nyangusi.
4. Tabaruku Rashidi
5. Siwajibu Siwazuri
6. Semeni Sina
** Hawa jamaa Na.1 - 4 walikuwa wacheshi sana ukichanganya na majina yao walikuwa wanang'oa mademu kama "mashetani" vile. Enzi hizo sisi wengine achilia kuttonngoza hata "kukojoa" tulikuwa hatujui maana yake. Mi nikawa nafikiri ni ile NJE-NJE-NDANI!