cacico
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 8,362
- 7,800
ndaga baba!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndaga baba!!
Busima wakati huo Mara SECONDARY HA!HA!HA!
Mloko tech moja hiyo mitaa ya baruti kata ya bweri
Mmeacha kugombana kisa watoto wa Songe
Tupia hapa nasi tuongeze siku kwa kucheka
Kingunge Ngombale Mwiru, classmate wangu primary
Ndahani
Mavunde, Mang'enya Mbwelwa hawa tulikuwa nao Tosamaganga. Shule ya
msingi pale sabasaba shule ya msingi mkoani Iringa kuna jamaa siwezi
kumsahau alikuwa anaitwa Msafiri Kikoti alikuwa anatokea mitaa ya
kihesa, huyo jamaa alikuwa anajamba sana, alikuwa na utaalamu wa hali ya
juu wa kujamba, alikuwa anaishi na bibi yake, itaonekana ni jambo la kitoto lakini nakuambia ukweli sijawahi kuona mjambaji mzuri kama msafiri, alikuwa anajamba kwa namna ya kipekee sana. ingawa kijambo chake kilikuwa kinatoa harufu mbaya sana lakini style aliyokuwa anatumia kujamba lazima ucheke. Sijui atakuwa wapi huyu jamaa