Ni jina gani la "classmate" wako ukilikumbuka linakuvunja mbavu

Ni jina gani la "classmate" wako ukilikumbuka linakuvunja mbavu

Mloko tech moja hiyo mitaa ya baruti kata ya bweri

Hahaa...pale Rwamlimi sio....LoL...

Back to ze topic...

Nawakumbuka wafuatao ambao majina yao yaliniacha hoooi...

Mkatomboka Kiwara na Mpeka Mbolile pale Kilimanjaro Primary School
 
mbona ni vijana wa zamani tu inaamaanisha siku hizi vijana wanepewa majina ya kizungu paka la ukoo ni la kizungu
 
Ubuzi Kikwapa-huyu nimesomanae samunge primary
 
Denis ''Baghira'' sir name yake ilikuwa inaniacha hoi ila jamaa alikuja kuwa Mwizi jijini Arusha sikio alikatwa last time nilipomuona sidhani kama yupo hai tena...

Sos ''Chamba'' Dah alikuwa ni rafiki yangu ukimzingua anataka kupigana... hahahaha utoto mtu akikasirika ndio unakuwa mchezo

Damian ''Lusengekile'' akiitwa jina lazima nicheke...

''Dhiri'' Abdallah Alikuwa ni Mmasai nilikuwa sijawahi sikia jina kama hilo ''Dhiri'' so nilikuwa naenjoy sana...

''Ghanie'' huyu nadhani ni Mtangazaji sikuhizi ila nilikuwa naenjoy kulisikia jina lake ila alikuwa na vimaringo flani

Bartholomew hili jina ni la ajabu sikuelewa mtu anapewaje jina gumu kama hilo...

Ching'oro Magoti
 
Hahaa...pale Rwamlimi sio....LoL...

Back to ze topic...

Nawakumbuka wafuatao ambao majina yao yaliniacha hoooi...

Mkatomboka Kiwara na Mpeka Mbolile pale Kilimanjaro Primary School

Huko rwamulimi yalikua maeneo yangu ya kujificha kila tulipofanya fujo na shule kuwekwa chini ya ulinzi mkali wa mbwa wa serikali aka ffu, noma sana, tulikoswa kutafunwa na kiboko pale ziwani usiku ktk purukushani za kuwakimbia haohao iron boys. I miss baruti kwa brai kwenye picha za "vikao".
 
Back
Top Bottom