Ndahani
Mavunde, Mang'enya Mbwelwa hawa tulikuwa nao Tosamaganga. Shule ya
msingi pale sabasaba shule ya msingi mkoani Iringa kuna jamaa siwezi
kumsahau alikuwa anaitwa Msafiri Kikoti alikuwa anatokea mitaa ya
kihesa, huyo jamaa alikuwa anajamba sana, alikuwa na utaalamu wa hali ya
juu wa kujamba, alikuwa anaishi na bibi yake, itaonekana ni jambo la kitoto lakini nakuambia ukweli sijawahi kuona mjambaji mzuri kama msafiri, alikuwa anajamba kwa namna ya kipekee sana. ingawa kijambo chake kilikuwa kinatoa harufu mbaya sana lakini style aliyokuwa anatumia kujamba lazima ucheke. Sijui atakuwa wapi huyu jamaa