Denis ''Baghira'' sir name yake ilikuwa inaniacha hoi ila jamaa alikuja kuwa Mwizi jijini Arusha sikio alikatwa last time nilipomuona sidhani kama yupo hai tena...
Sos ''Chamba'' Dah alikuwa ni rafiki yangu ukimzingua anataka kupigana... hahahaha utoto mtu akikasirika ndio unakuwa mchezo
Damian ''Lusengekile'' akiitwa jina lazima nicheke...
''Dhiri'' Abdallah Alikuwa ni Mmasai nilikuwa sijawahi sikia jina kama hilo ''Dhiri'' so nilikuwa naenjoy sana...
''Ghanie'' huyu nadhani ni Mtangazaji sikuhizi ila nilikuwa naenjoy kulisikia jina lake ila alikuwa na vimaringo flani
Bartholomew hili jina ni la ajabu sikuelewa mtu anapewaje jina gumu kama hilo...
Ching'oro Magoti