Ni jina gani la "classmate" wako ukilikumbuka linakuvunja mbavu

Ni jina gani la "classmate" wako ukilikumbuka linakuvunja mbavu

'Semeni Shida' binti huyu tulisoma nae primary moja hapa DSM miaka hiyo darasa lina madawati mawili ukichelewa basi chini panakuhusu
 
1997 Sisimba praimary jamaa aliiba shlng 100 na akabainika akaulizwa ulikua unaenda kufanyia nn akajibu anaenda kununua Super Dip kutokea siku hiyo jina akapewa Super Dip
 
kukungukwe Itabajile sasi wawa ya masaka ,,huyu tulikuanae GEITA sec miaka ya tisin
 
Nyamagoma mbuguma shighatini sec na arusha moshi sumawe primary karatu
 
Revocatus Matangajo, mtoto wa mwalimu mkuu enzi hizo tuko Magulukenda shule ya msingi, kalebezo moja hiyo.
 
Back
Top Bottom