Ni jina gani la "classmate" wako ukilikumbuka linakuvunja mbavu

Ni jina gani la "classmate" wako ukilikumbuka linakuvunja mbavu

PUMBUA KAZUNGU

Ikumbukwe jina lake la kwanza ndio Pumbua ilo Kazungu ni surname.

OK. Tunamuitaga Kazungu.
 
Popote ulipo
John mgala
Na isack
Kwakilosa secondary [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Popote ulipo witness Reginald Moshi pale Dar es Salaam secondary school.

Kuna mdau alikua anaitwa TUNTUFYE.
 
Km alihama hivi. Mkuu umenikumbusha mbali sana teacher makala asubuhi getini na vitambulisho vya kuchelewa daah mihayo ilikuwa shule powa sana
[emoji23][emoji23] Alikuwa anajituma sana aisee, bila kumsahau Isingo
 
'Aziz Kanyakanya' huyu nilisoma nae Ukombozi primary
 
Back
Top Bottom