Ni jina gani linalokuvutia hapa jf

Lol...Rejao si mara moja moja ukikutana na TF tunafanya kazi hiyo ya kutembelea sehemu hizo next time tuonane ukamuone Kongosho George & Dragon...
Oooh..kumbe na Kongosho atakuwepo? Basi nitajoin! lakini kama kuna yoyo na you know nyingi mimi sipawezi!
 
Oooh..kumbe na Kongosho atakuwepo? Basi nitajoin! lakini kama kuna yoyo na you know nyingi mimi sipawezi!
Nawamudu vizuri hao hawatakupa shida tukitoka hapo tunaenda zetu Groove Theory...
 
Navutiwa na ID's zifuatazo arabianfalcon,Russian Roullette,Gaijin,sweet lady,First lady,Husninyo,Soraya,Dena Amsi.

wengine nitaongeza baadaye.
 
Magamba wanapenda Offer Kumbe kama Jk.. ''Suti''

Rejao utakacameruniwa.
 
Nguruvi3, Chatu Dume, Dena Amsi, Husninyo, Faizafoxy.....
 
Bujibuji,Washawasha,Rejao,Eiyer,Mzabzab,kongosho,Mwali,Mtambuzi,Zinduna,FaizaFoxy,MziziMkavu,.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…