Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
chamtumavi
Oooh..kumbe na Kongosho atakuwepo? Basi nitajoin! lakini kama kuna yoyo na you know nyingi mimi sipawezi!Lol...Rejao si mara moja moja ukikutana na TF tunafanya kazi hiyo ya kutembelea sehemu hizo next time tuonane ukamuone Kongosho George & Dragon...
Nawamudu vizuri hao hawatakupa shida tukitoka hapo tunaenda zetu Groove Theory...Oooh..kumbe na Kongosho atakuwepo? Basi nitajoin! lakini kama kuna yoyo na you know nyingi mimi sipawezi!
Dena Amsi....nalipenda hili jina mpaka na avatar yake achilia mbali kunivutia tu!!!
Mi nampenda hata mwenyewe DENADena Amsi....nalipenda hili jina mpaka na avatar yake achilia mbali kunivutia tu!!!
the the zimekuchanganya eeh!
Me love u tooMi nampenda hata mwenyewe DENA
Nguruvi3, Chatu Dume, Dena Amsi, Husninyo, Faizafoxy.....