Ni jina gani linalokuvutia hapa jf

Ni jina gani linalokuvutia hapa jf

Kipipi wewe hata mie nakupenda mno hilo jina linanikumbusha mbali

Mwenzako mie nikiona tu 'Dena Amsi' basi najisikia raha kulitamka let alone kulisoma alafu nikiona na hiyo avatar nafurahiiiiiiiii!!! Mmmm....... I'm interested to know dear, jina langu lakukumbusha wapi vile??? Lol
 
we unataka beer au mie?
Bora uje umefuunika hiyo pua maana itatudonoa

Oooh..kumbe na Kongosho atakuwepo? Basi nitajoin! lakini kama kuna yoyo na you know nyingi mimi sipawezi!
 
Washawasha, nalog off

hahaha washawasha yuko wapi huyu kapotea na mada zake zenye utata!....

navutiwa na jina langu ndio maana nikalichagua! kipindi najiunga Jf kule kwenye intro! wadau walidhani mi njiwa jike! walitaka wanifanye kisusio ... hehe!
 
Sizinga...Happy New Year al JF members
2012-img-2.gif

 
Back
Top Bottom