Ni jinsi gani gharama za maisha kupanda na mfumuko wa bei ulivyo guess taratibu zako za maisha?

Ngoja tukae kimya...hawachelewi kuita watu Sukuma gang...and is this is just a begining.
Inaonesha hata na vinasaba vya kiingereza kibovu.
 
Wadugu fursa hii tuchangamkie
 
Daah umenikumbusha Pick & pay hapo Ndola.
 
Hali ni mbaya sanaa

Mchele tsh 2500 @1kg
unga wa ugali 1400@1kg
Mafuta ya kupikia 8000@1litre
Gesi kg 15 55000
Boflo 2200
 
Hivi kumbe kwacha ina dhamani kuliko hela yetu..daah..

#MaendeleoHayanaChama
 
Ila upatikanaji WA pesa Kwa Ndola uko juu tofauti na miji Mingi ya Tanzania
 
Hivi kumbe kwacha ina dhamani kuliko hela yetu..daah..

#MaendeleoHayanaChama
Kuna kwacha za nchi mbalimbali , ulidhani ni Malawian Kwacha au ? Pesa ya Zambia iko juu Kwa thamani kuliko yetu kitambo Tu
 
Nimepanga 100000 Kwa mwez nataka nitafute 30 Kwa mwez😭maskini mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…