Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaonesha hata na vinasaba vya kiingereza kibovu.Ngoja tukae kimya...hawachelewi kuita watu Sukuma gang...and is this is just a begining.
Wadugu fursa hii tuchangamkieBora Tanzania. Nipo hapa ndola wali maharage ni kwacha 40 ni sawa na tsh 5500. Daladala kutoka town hadi indeke (km 6) ni kwacha 10 ni tsh 1380.
Nyanya fungu zikiwa tatu ni kwacha 10 = tsh 1380. Coca cola ndogo ya chupa ml 300 ni k7 = tsh 972. Mkate gram 500 ni k 17 = tsh 2360.
Hovyo sana. Umesahau ulivyochapwa na maisha hata ukakosa pesa ya kununua malaya ukawa unamendea wanafunzi?[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Hapana dada angu Sky Eclat sizungumzii mapacha nazungumzia ugumu wa maisha kwamba angesoma angekuwa na kazi nzuri ofisini yenye mshahara mnono
Daah umenikumbusha Pick & pay hapo Ndola.Bora Tanzania. Nipo hapa ndola wali maharage ni kwacha 40 ni sawa na tsh 5500. Daladala kutoka town hadi indeke (km 6) ni kwacha 10 ni tsh 1380.
Nyanya fungu zikiwa tatu ni kwacha 10 = tsh 1380. Coca cola ndogo ya chupa ml 300 ni k7 = tsh 972. Mkate gram 500 ni k 17 = tsh 2360.
Hivi kumbe kwacha ina dhamani kuliko hela yetu..daah..Bora Tanzania. Nipo hapa ndola wali maharage ni kwacha 40 ni sawa na tsh 5500. Daladala kutoka town hadi indeke (km 6) ni kwacha 10 ni tsh 1380.
Nyanya fungu zikiwa tatu ni kwacha 10 = tsh 1380. Coca cola ndogo ya chupa ml 300 ni k7 = tsh 972. Mkate gram 500 ni k 17 = tsh 2360.
Mafuta ya meshuka bei .Hali ni mbaya sanaa
Mchele tsh 2500 @1kg
unga wa ugali 1400@1kg
Mafuta ya kupikia 8000@1litre
Gesi kg 15 55000
Boflo 2200
Na marinda huna utaona 💩💩💩mwaka huuCha moto tunakiona...
Kumbuka unaweza kusoma na usiwe na maisha bora, na wapo wanasota tu mtaani na majumbani.Pole yake angesoma yasingemkuta haya yote
Tena kuchoka kwenyewe na viatu mkononi vilivyo chakaa.Masikini watafika mbinguni wakiwa wamechoka sana
Pesa yetu madafu[emoji44]Hivi kumbe kwacha ina dhamani kuliko hela yetu..daah..
#MaendeleoHayanaChama
Ila upatikanaji WA pesa Kwa Ndola uko juu tofauti na miji Mingi ya TanzaniaBora Tanzania. Nipo hapa ndola wali maharage ni kwacha 40 ni sawa na tsh 5500. Daladala kutoka town hadi indeke (km 6) ni kwacha 10 ni tsh 1380.
Nyanya fungu zikiwa tatu ni kwacha 10 = tsh 1380. Coca cola ndogo ya chupa ml 300 ni k7 = tsh 972. Mkate gram 500 ni k 17 = tsh 2360.
Hana akili huyu kidagaa mkubwaHovyo sana. Umesahau ulivyochapwa na maisha hata ukakosa pesa ya kununua malaya ukawa unamendea wanafunzi?
Kuna kwacha za nchi mbalimbali , ulidhani ni Malawian Kwacha au ? Pesa ya Zambia iko juu Kwa thamani kuliko yetu kitambo TuHivi kumbe kwacha ina dhamani kuliko hela yetu..daah..
#MaendeleoHayanaChama