Ni jinsi gani Hezbollah iliweza kushinda vita dhidi ya Israel? (2006)

Mbna umepanic MKUU ss waziri MKUU wao mbona alijiuzulu[emoji23][emoji23]

Kwani hata JAPAN si alishindwa katika vitakuu yapili ya DUNIA mbona mpaka sasa bado yupo?!

German je?!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Japan alishindwa vita na nani?
 
Wewe kipindi hicho ulikuwa hujazaliwa?, Israel alichapika kikweli kweli,na haukuwepo mchezo,
 
MKUU HUJAELEZEA HALI HALISI YA UWANJA WA MAPAMBANO NA HUJAELEZEA KILA UPANDE ULIPATA HASARA KIASI GANI NA FAIDA KIASI GANI.UMEELEZEA USHABIKI TU WA UPANDE MMOJA NA SIO UCHAMBUZI WA VITA VYENYEWE NDANI YA UWANJA WA MAPAMBANO.
TUELEZEE KILA UPANDE WALIKUFA WANAJESHI WANGAPI NA KILA UPANDE ULITEKA MATEKA WANGAPI?
NA KILA UPANDE ZANA NGAPI ZA KIJESHI ZILIHARIBIWA NA ADUI?
NA MAFANIKIO YA VITA NA KIJESHI KWA KILA UPANDE BAADA YA VITA?
 
Kwanza huwa nashangaa, kila muda Iran, ana nini zaidi ya pesa ya mafuta tu? Na bado hiyo pesa haijamsaidia kupata advanced weapons, atawatisha kina Yemen na Syria, not Israel.
Kweli eeeh!?
 
Huelewi unachokiandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…