Ni jinsi gani Hezbollah iliweza kushinda vita dhidi ya Israel? (2006)

Ni jinsi gani Hezbollah iliweza kushinda vita dhidi ya Israel? (2006)

Upuuzi tu, waarabu wawashinde Waebrania halafu waendelee kuwepo hadi leo really?
Hii report ipo kwenye liblary ya jeshi la marekani wakielezea kila kitu kilichotokea haya soma upate kuelimika
 

Attachments

  • Screenshot_20240423-015219_Drive.jpg
    Screenshot_20240423-015219_Drive.jpg
    342.2 KB · Views: 7
  • Screenshot_20240423-015323_Drive.jpg
    Screenshot_20240423-015323_Drive.jpg
    684 KB · Views: 7
Unaongea upuuzi hao hezbollah walichapika sana sana bila matangazo kimyakimya.
Hata km walijaribu kujibu walikua hoi kwa kipigo.
Hii juzi tu waliingilia ugomvi wa Gaza na Israel wakapelekewa moto mpaka kwao huko.
Ndio Gaza ikafuatia.
Aliyeanza kupigwa ni hezbollah.
 
Salaaam aleikum
Mara nyingi huwa nafuatilia kwa karibu makala za huyu mwandishi anayejiita (100 and others), moja ya makala zake iliyonivutia ni "Lebanon War 2006". Hii makala ikinisaidia sana ktk kuandaa research yangu wakati namalizia masomo yangu ya master degree in "Peace Study and Conflict Resulution at Pretoria University in South Africa
Nilitarajia kuona makala zake nyingine zenye Kuhabarisha na kuelimisha haswa kupitia mapigano yanayoendelea sasa hivi huko Lebanon kati ya Israel vs Hezbollah.

Upo wapi 100 and others?
 
Back
Top Bottom