Salaaam aleikum
Mara nyingi huwa nafuatilia kwa karibu makala za huyu mwandishi anayejiita (100 and others), moja ya makala zake iliyonivutia ni "Lebanon War 2006". Hii makala ikinisaidia sana ktk kuandaa research yangu wakati namalizia masomo yangu ya master degree in "Peace Study and Conflict Resulution at Pretoria University in South Africa
Nilitarajia kuona makala zake nyingine zenye Kuhabarisha na kuelimisha haswa kupitia mapigano yanayoendelea sasa hivi huko Lebanon kati ya Israel vs Hezbollah.
Upo wapi 100 and others?