Ni jinsi gani unaweza kuishi na mwanamke bila kukwaruzana au bila kupata stress?

Ni jinsi gani unaweza kuishi na mwanamke bila kukwaruzana au bila kupata stress?

Mboka man

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2020
Posts
478
Reaction score
1,647
Hebu tusaidie wana ndugu kama mnavyojua wanawake ni watu wa vitimbwi, visa, dharau, vituko na maneno ya karaha yaani kuishi nao inahitaji akili sana lakini hebu leo hii tusaidiane ni njia ipi bora ya kuishi na mwanamke kwa akili bila kukwaruzana nao.

Maana kuna wengine watakwambia uishi nae kama rafiki, wengine wanakwambia uwapuuze yaani kila mtu ana story yake hebu leo tusaidiane ni jinsi gani ya kuishi nao bila kukwaruzana nao au bila wao kukupa stress

1621329649612.png

 
1. Mpe hela
2. Mpe hela

3. Mpe hela

4. Mpe muda wako
5. Msikilize hata kama anaongea umbeya

6. Mthamini

7. Mheshimu

8. Msaidie kutimiza ndoto zake kama anavyokusaidia

9. Mpende

10. Kuwa mwanaume

11 jiamini

12 kuwa mlinzi

Mk

Nk

Nk

All in all

KYW (know your wife) inahusika
 
Hahahahaha mtundu wewe umesahau MM muhimu sana hii 😜😜


1. Mpe hela
2. Mpe hela

3. Mpe hela

4. Mpe muda wako
5. Msikilize hata kama anaongea umbeya

6. Mthamini

7. Mheshimu

8. Msaidie kutimiza ndoto zake kama anavyokusaidia

9. Mpende

10. Kuwa mwanaume

11 jiamini

12 kuwa mlinzi

Mk

Nk

Nk

All in all

KYW (know your wife) inahusika
 
Women especially Tanzanians they all like wild,rough nice guys. Just be at your best behavior of yourself the rest mwachie mwenyewe.

TIp siku ikitokea mmekwaruzana unakiamsha kweli kweli halafu siku ingine anzisha wewe ugomvi bila hivo hamfiki bila kusahau good dicking pia
 
Ila tumikwaruzano sometimes pia ni tuzuri mkuu acha tu, siyo mnakakaa mmepoaa kama kaka na dada bana kila kitu kinaenda smoooth aargh, Inabidi mkianza kubishana hadi mmoja atake kurusha ngumi hivi mwingine akwepe nk nk inakua poa[emoji19]
[emoji23][emoji23][emoji23]Mala Ana kupa mbata Una nuna alafu Ana kubembeleza Ana kununulia khanga mambo yanaisha saaaf kabisa
Nime kusamehe lakin usirudie Tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji112][emoji112][emoji112]
 
Mwanamke siku zote hajui anachokitafuta kwa mwanaume. anaweza kumuacha mwanaume masikini kisa pesa, akaenda kwa tajiri nako akatoka kisa mume yuko busy, akapata Hb Nae akamuacha kisa kibamia nk.
Huyo ndie mwanamke.
Kwani we kwa mwanamke mmoja unapata kila kitu?
 
Back
Top Bottom