Ni jinsi gani unaweza kuishi na mwanamke bila kukwaruzana au bila kupata stress?

Mpe show show kila akikaa akukumbuke akianza tuu atajirudi na kujitafakari kuhusu ile show yako ya midnight.
 
Hebu tusaidie wana ndugu kama mnavyojua wanawake ni watu wa vitibwi,visa,dharau,vituko na maneno ya karaha yaani kuishi nao inahitaji akili sana lakini hebu leo hii tusaidiane ni njia ipi bora ya kuishi na mwanamke kwa akili bila kukwaruzana nao

Maana kuna wengine watakwambia uishi nae kama rafiki , wengine wanakwambia uwapuze yaani kila mtu ana story yake hebu leo tusaidiane ni jinsi Gani ya kuishi nao bila kukwaruzana nao au bila wao kukupa stress
Mkiwa,wawili tu ndani lazima mtofautiane ila kuna jinsi ya kuishi ili isiwe kila siku mnakwaruzana.
1.elewaneni ishini kama shule shule inamasharti na mipaka kingine oa mtu ambaye mnaelewana anakujua vizuri.
2.Muwe wavumilivu wote wawili .
3.mpendane na kusikilizana
 
Mi akinitumia hela ya nyanya, mdomo kwisha.
 
Hebu tusaidie wana ndugu kama mnavyojua wanawake ni watu wa vitibwi,visa,dharau,vituko na maneno ya karaha yaani kuishi nao inahitaji akili sana lakini hebu leo hii tusaidiane ni njia ipi bora ya kuishi na mwanamke kwa akili bila kukwaruzana nao

Maana kuna wengine watakwambia uishi nae kama rafiki , wengine wanakwambia uwapuze yaani kila mtu ana story yake hebu leo tusaidiane ni jinsi Gani ya kuishi nao bila kukwaruzana nao au bila wao kukupa stress
Kwan mkuu wewe una mwanamke mmoja? kama ndio stress ni maisha yako na nakupa pole na vilevil R.I.P
 
Hebu tusaidie wana ndugu kama mnavyojua wanawake ni watu wa vitibwi,visa,dharau,vituko na maneno ya karaha yaani kuishi nao inahitaji akili sana lakini hebu leo hii tusaidiane ni njia ipi bora ya kuishi na mwanamke kwa akili bila kukwaruzana nao

Maana kuna wengine watakwambia uishi nae kama rafiki , wengine wanakwambia uwapuze yaani kila mtu ana story yake hebu leo tusaidiane ni jinsi Gani ya kuishi nao bila kukwaruzana nao au bila wao kukupa stress
Mkuu, wanawake ni viumbe wa ajabu sana. Haiwezekani uishi naye ipite wiki bila kukwaruzana. Kumpuuza kwa mambo yake ya kipuuzi kutasaidia kukuondolea stress lakini kama ukitaka umchukulie serious kila kituko anachofanya, utakufa mapema sana aisee. Nakuhurumia.

Kuishi na mwanamke ni sawa na kuishi na kikohozi. Hata ujizuie vipi lazima utakohoa tu; na ukilazimisha kutokohoa utaumia mwenyewe.
 
Hebu tusaidie wana ndugu kama mnavyojua wanawake ni watu wa vitibwi,visa,dharau,vituko na maneno ya karaha yaani kuishi nao inahitaji akili sana lakini hebu leo hii tusaidiane ni njia ipi bora ya kuishi na mwanamke kwa akili bila kukwaruzana nao

Maana kuna wengine watakwambia uishi nae kama rafiki , wengine wanakwambia uwapuze yaani kila mtu ana story yake hebu leo tusaidiane ni jinsi Gani ya kuishi nao bila kukwaruzana nao au bila wao kukupa stress
Kama unaoa maraika inawezekana,lakini kama unaoa uzao wa adamu,sahau hicho kitu,
Kama unaweza kuvumilia mapungufu yake,huyo ndio mke mwema,ishi nae,jenga maisha,kama huwezi kuyavumilia,piga chini tafuta mwingine,kabla hamjatoana roho.
 
Ila tumikwaruzano sometimes pia ni tuzuri mkuu acha tu, siyo mnakakaa mmepoaa kama kaka na dada bana kila kitu kinaenda smoooth aargh, Inabidi mkianza kubishana hadi mmoja atake kurusha ngumi hivi mwingine akwepe nk nk inakua poa😒
Du! Maisha ya kibongobongo haya mkuu 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Mwanamke siku zote hajui anachokitafuta kwa mwanaume. anaweza kumuacha mwanaume masikini kisa pesa, akaenda kwa tajiri nako akatoka kisa mume yuko busy, akapata Hb Nae akamuacha kisa kibamia nk.
Huyo ndie mwanamke.
Kweli kabisa mkuu. These people are so unpredictable! Tunaishi nao tu ili watuzalie watoto kama vile unavyoishi na ng'ombe ili akupe maziwa. Vinginevyo kama kungekuwa na maduka ya kununua watoto, wasingekuwa na kazi.
 
Hebu tusaidie wana ndugu kama mnavyojua wanawake ni watu wa vitibwi,visa,dharau,vituko na maneno ya karaha yaani kuishi nao inahitaji akili sana lakini hebu leo hii tusaidiane ni njia ipi bora ya kuishi na mwanamke kwa akili bila kukwaruzana nao

Maana kuna wengine watakwambia uishi nae kama rafiki , wengine wanakwambia uwapuze yaani kila mtu ana story yake hebu leo tusaidiane ni jinsi Gani ya kuishi nao bila kukwaruzana nao au bila wao kukupa stress

they are from Venus we are from Mars.. we do not speak same language... so makwaruzano is inevitable

jibu moja.. wasikilize sana ongea kidogo... tena kidogo sana... kila unachokifanya ukibalance... do not be open too much.. dont be too polite. kwenye kamusi ya wanawake being too polite and acting 100% gentleman and emotional.. being too emotional kwao is a weakness..

last veri impotanti... any topic involving woman mtakayo ongea hata kama ni dada yako we ingiza chorus marufuku kuongeza ubeti...

wanawake kila utakachonge ana tafsiri mbili tofaut inategema mood yake siku hiyo aondoke na tafsir ipi

NB when a woman says "What?" its not because she didn't here you. she simply gives you another chance to change your statement

THEY ARE MEANT TO BE LOVED NOT TO BE UNDERSTOOD.... you try to understand them you are heading in a wrong direction...
 
Amini kuwa umekutana nae ukubwani na ipo day mtatengana, amini kuwa yeye sio bora namba 1,2 wala 3 katika maiaha yako, amini kuwa yeye sio bidhaa adimu kwamba ikipotea hautoweza kuipata teena... Amini kuwa unachokipata kwake unaweza kukipata kwingine popote...

Kwa kupitia ayo... Itakupa confidence na kuwa huru na maamuzi au matukio yoyote bila stress zozote.
 
Back
Top Bottom