1. Mpe hela
2. Mpe hela
3. Mpe hela
4. Mpe muda wako
5. Msikilize hata kama anaongea umbeya
6. Mthamini
7. Mheshimu
8. Msaidie kutimiza ndoto zake kama anavyokusaidia
9. Mpende
10. Kuwa mwanaume
11 jiamini
12 kuwa mlinzi
Mk
Nk
Nk
All in all
KYW (know your wife) inahusika
Sasa kama akili hunaIshi nae kwa akili tu. Tumia akili zaidi kuliko moyo
Nature yetu ya kibinaadamu ni kuwa na madhaifu.
Hakuna aliekamilika na huwezi mpata mnae endaga [emoji817] kwa [emoji817].
Kwa hiyo muhimu kujua boundaries za mwenzio na yeye ajue zako muheshimiane.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mala Ana kupa mbata Una nuna alafu Ana kubembeleza Ana kununulia khanga mambo yanaisha saaaf kabisaIla tumikwaruzano sometimes pia ni tuzuri mkuu acha tu, siyo mnakakaa mmepoaa kama kaka na dada bana kila kitu kinaenda smoooth aargh, Inabidi mkianza kubishana hadi mmoja atake kurusha ngumi hivi mwingine akwepe nk nk inakua poa[emoji19]
Mwanamke siku zote hajui anachokitafuta kwa mwanaume. anaweza kumuacha mwanaume masikini kisa pesa, akaenda kwa tajiri nako akatoka kisa mume yuko busy, akapata Hb Nae akamuacha kisa kibamia nk.Mtimizie mnahitaji yake....(mdomo wote kwisha)
Kwani we kwa mwanamke mmoja unapata kila kitu?Mwanamke siku zote hajui anachokitafuta kwa mwanaume. anaweza kumuacha mwanaume masikini kisa pesa, akaenda kwa tajiri nako akatoka kisa mume yuko busy, akapata Hb Nae akamuacha kisa kibamia nk.
Huyo ndie mwanamke.