Ili usipate hizo stress labda uwe kiziwi broHebu tusaidie wana ndugu kama mnavyojua wanawake ni watu wa vitimbwi, visa, dharau, vituko na maneno ya karaha yaani kuishi nao inahitaji akili sana lakini hebu leo hii tusaidiane ni njia ipi bora ya kuishi na mwanamke kwa akili bila kukwaruzana nao.
Maana kuna wengine watakwambia uishi nae kama rafiki, wengine wanakwambia uwapuuze yaani kila mtu ana story yake hebu leo tusaidiane ni jinsi Gani ya kuishi nao bila kukwaruzana nao au bila wao kukupa stress.
Ila tumikwaruzano sometimes pia ni tuzuri mkuu acha tu, siyo mnakakaa mmepoaa kama kaka na dada bana kila kitu kinaenda smoooth aargh, Inabidi mkianza kubishana hadi mmoja atake kurusha ngumi hivi mwingine akwepe nk nk inakua poa[emoji19]
😀😀raha mnaishia kucheka na kesi inaishia hapo, sasa mambo ya mnakaa tu mmetulia hamna hata kaugomvi aah, couple inakua imepoaa hata majirani hawajui kama mpo bana🏃♀️Hahhaaaaa bwana eeeh sisi tumezoea kuzozana kiasi tunaweza tukaanza tu mmoja akaanza kucheka [emoji23][emoji23] na kesi inaishia hapo.