Ni jinsi gani ya ku save mb (gb) zisiishe haraka. Maana siku hizi gb 1 tuu inaisha ndani ya saa

Lexus SUV

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2016
Posts
5,189
Reaction score
6,506
Najaribu jiuliza kwanini. Data bundle zinawahi kuisha sana . Hata kama HUFUNGUI ZILE APPS ZINAZOKULA MB SANA .....MFANO IG , TIKTOK , JUST NI JF TUU FB YENYE LITE DATA SAVER ,

KARIBUNI TUSHAURIANE NAMNA YA KU SAVE DATA BUNDLES ....

JUMAPILI NJEMA🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
 
Uwezi kuzuia data hata hiyo IOS au android bado kuna vitu vinakuwa vinatumia data kujiongoza ikiwa on.
Pili apps ulizonazo nazo zinakuwa kwenye matumizi makubwa ya data.
Cha kukusaidia tumia kitochi tu maana hakuna zaidi ya kupiga na sms
 
Kitochi kinakuficha na kukuonyesha Dunia inavyoenda.........dah
 
Nenda huko play store/app store huwenda Kuna apps zinafanya automatic downloads hasa games n.k. Nenda huko play store uguse sehemu ya profile yako kwenye eneo la settings upige don't auto-download Maeneo yote na sehemu ya app download preference gusa sehemu ya ask me every time.
 
Hii ni usefull fact , ngoja ni cheki
 
Najaribu jiuliza kwanini. Data bundle zinawahi kuisha sana . Hata kama HUFUNGUI ZILE APPS ZINAZOKULA MB SANA .....MFANO IG , TIKTOK , JUST NI JF TUU FB YENYE LITE DATA SAVER ,

KARIBUNI TUSHAURIANE NAMNA YA KU SAVE DATA BUNDLES ....

JUMAPILI NJEMA🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Tumia app inaitwa Glasswire itakusaidia sana kuweza kuzuia simu yako kula bando kwani inafunga app zote zilizopo kwenye simu kutumia bando mpaka ukihitaji kutumia ndo uipe access
 
sikiliza bro
jambo la kwanza TURN OFF NOTIFICATION
jambo la zima background Used
jambo la tatu DISABLE app ambazo hazina msaada wowote kwako ila zimekuja na SIMU

jambp la kwanza TURN OFF NOTIFICATION
hii itakusaidia kitendo kila unawasha DATA
NOTIFICATION zisifungue apps usiyoitaka
kwa watumiaji wa TECNO INFINIX wanajua dude moja linaitwa PHONEX ni huzuni kwakweli hilo jamaa unataka tu uangalia mesji whatsap lkn huyo jamaa PHONEX anavyokuwahi utajuta ni muongo sana na mwenzake OPERA notification wanakuketea habari tamu mixer vichupi full uhondoukifungua tu unakutana na kanyaboya

jambo la pili ZIMA BACKGROUND USED
hii itakusaidi unapokuwa Apps huitumii lkn umefungua isitumie BANDO lako mpk uwe unatumia

jambo la tatu DISABLE APPS
anza na hilo PHONEX ni apps la kifala lidisable mana kulitoa haiwezekani

zaidi FACEBOOK set AUTPLAY VIDEO iwe WI-FI then set video za REEL ziplay katika low data
 
Najaribu jiuliza kwanini. Data bundle zinawahi kuisha sana . Hata kama HUFUNGUI ZILE APPS ZINAZOKULA MB SANA .....MFANO IG , TIKTOK , JUST NI JF TUU FB YENYE LITE DATA SAVER ,

KARIBUNI TUSHAURIANE NAMNA YA KU SAVE DATA BUNDLES ....

JUMAPILI NJEMA🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Website siku hizi zinaangalia speed yako na automatic wanaserve vitu kutokana na speed.

Usitumie app tumia browser, tafuta browser zinazo save data kama Opera, yandex etc. Ama tumia Firefox na add ons, zinazo save data.

Njia nyengine ni kutumia network yenye speed ndogo kama 3G.

Njia nyengine tafuta vifurushi vyenye value kubwa kama vya Sme na bundle zingine ambazo sio rasmi ila zina value kubwa.
 
sikiliza bro
jambo la kwanza TURN OFF NOTIFICATION
jambo la zima background Used
jambo la tatu DISABLE app ambazo hazina msaada wowote kwako ila zimekuja na SIMU

jambp la kwanza TURN OFF NOTIFICATION
hii itakusaidia kitendo kila unawasha DATA
NOTIFICATION zisifungue apps usiyoitaka
kwa watumiaji wa TECNO INFINIX wanajua dude moja linaitwa PHONEX ni huzuni kwakweli hilo jamaa unataka tu uangalia mesji whatsap lkn huyo jamaa PHONEX anavyokuwahi utajuta ni muongo sana na mwenzake OPERA notification wanakuketea habari tamu mixer vichupi full uhondoukifungua tu unakutana na kanyaboya

jambo la pili ZIMA BACKGROUND USED
hii itakusaidi unapokuwa Apps huitumii lkn umefungua isitumie BANDO lako mpk uwe unatumia

jambo la tatu DISABLE APPS
anza na hilo PHONEX ni apps la kifala lidisable mana kulitoa haiwezekani

zaidi FACEBOOK set AUTPLAY VIDEO iwe WI-FI then set video za REEL ziplay katika low data
pamoja na yote hayo , GB 3 za airtel/voda Tanzania zinaisha haraka kuliko GB3 za MTN/AIRTEL MALAWI katika simu hiyo hiyo moja,....
 
hakuna kitu kama hicho simu yako ya kila APPS inakuonyesha umetumia mb ngapi kwa kila siku wiki na mwezi

unachotakiwa kufahamu
VIDEO ya youtube ya ya lisaa limoja yenye pixer 360p inakula mb 400
wakati video hiyo hiyo ya lisaa limoja yenye pixel 720p(HD) inakula 1gb
wakati video hiyohiyo ya 4k inakula gb 5

toa tick ya AUTOMATIC ADJUST VIDEO NETWORK CONDITION
pin katika 360p au 480p

hii sio ina apply SOCIAL zote
isipokuwa YOUTUBE na FACEBOOK inakupa option ya kupin pixer unazotaka
INSTA TIKTOK na wengine wao wanakupa QUALITY kulingana kasi ya mtandao wako ukiwa chini mtandao watakupa VIDEO low QUALITY ukiwa upo juu mtandao watakupa VIDEO HIGH QUALITY so ndo mana unaona mitandao iliyopo slow bando linakaa
lakin mtandao wenye speed bando lako litaisha kwa haraka

Hata whatsapp ukituma VIDEO HD mb zinaongezeka ukituma kawaida mb zinakuwa chini
 
Najaribu jiuliza kwanini. Data bundle zinawahi kuisha sana . Hata kama HUFUNGUI ZILE APPS ZINAZOKULA MB SANA .....MFANO IG , TIKTOK , JUST NI JF TUU FB YENYE LITE DATA SAVER ,

KARIBUNI TUSHAURIANE NAMNA YA KU SAVE DATA BUNDLES ....

JUMAPILI NJEMA🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Kabla hujafanya decision yoyote, nenda play store na udownload data manager app

Kwanza ujue apps gani zinakumalizia bundle lako, kisha itakuwa raisi kushughulika nayo
 
Attachments

  • Screenshot_20250608-231728.png
    Screenshot_20250608-231728.png
    171.7 KB · Views: 38
Back
Top Bottom