Ni jinsi gani ya ku save mb (gb) zisiishe haraka. Maana siku hizi gb 1 tuu inaisha ndani ya saa

Ni jinsi gani ya ku save mb (gb) zisiishe haraka. Maana siku hizi gb 1 tuu inaisha ndani ya saa

Tumia app inaitwa Glasswire itakusaidia sana kuweza kuzuia simu yako kula bando kwani inafunga app zote zilizopo kwenye simu kutumia bando mpaka ukihitaji kutumia ndo uipe access
Nimei download sema ndo IPO on KWA Sasa Ina load........ APPS ZOTE NIME ZI BLOCK. UNTIL NIIFUNGUE NDO NAITUMIA DATA .
 
Unapenda Picha mjongeo, unapenda kuangalia uumbaji wa mungu Insta na tiktok, bado unahitaji huruma ya Mb's?!

Baada ya kuangalia uumbaji...Ukiwa unajipimia size yako kwa mikono yako huwa uko mwenyewe! Tukushauri nini sasa wakwetu?!
 
Nenda setting na uangalie ni nini kinatumia sana bundle yako,kisha achana navyo
 
Nenda huko play store/app store huwenda Kuna apps zinafanya automatic downloads hasa games n.k. Nenda huko play store uguse sehemu ya profile yako kwenye eneo la settings upige don't auto-download Maeneo yote na sehemu ya app download preference gusa sehemu ya ask me every time.
namim nilitaka nimwambie hikihik..

Ila pia na upande wa whatsapp azuie picha na video anazo tumiwa zisijidown auto.
Na azuie app kuji update zenyew automatic, hiz hua ndo znakula sana mb bila kujua
 
Najaribu jiuliza kwanini. Data bundle zinawahi kuisha sana . Hata kama HUFUNGUI ZILE APPS ZINAZOKULA MB SANA .....MFANO IG , TIKTOK , JUST NI JF TUU FB YENYE LITE DATA SAVER ,

KARIBUNI TUSHAURIANE NAMNA YA KU SAVE DATA BUNDLES ....

JUMAPILI NJEMA🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Zuia matumizi ya background data.
 
Back
Top Bottom