Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Wenzetu huko Ulaya ukigombea mara Moja ukashindwa hutakiwi kugombea Tena. Ni Tanzania pekee ambapo mtu anagombea Kila mwaka. Leo badala ya kutafuta chuma kipya Cha kuitikisa CCM. Bado tuna mawazo mgando ya kutaka Freeman au Lissu wagombee Tena kwa sera zipi mpya?
Watu wamemzoea na hana jipya Tena anapaswa aendelee kuwa kiongozi wa chama ,lakini mchakato wa mgombea unapaswa kuanza sasa ili iwe surprise kwa CCM, Mimi kwa muono wangu ,CHADEMA wakae na Job Ndugai aingie ulingoni kama mbwai iwe mbwai then uchaguzi ukiisha tutajua Cha kufanya lakini kwa huyu Lissu au Freeman nawaambieni hatupati Jimbo hata Moja.