Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamii forum Haina matajiriBasi nishaamua nitagombea mimi ili niokoe jahazi la nchi Evelyn Salt jiandae tajiri mwenza utakuwa makamo wa raisi na sisi tule mema ya nchi.
Cabinet yetu yote itajaa matajiri wa JF.
Wewe ndio unasema hivyo. Humu wote matajiri, wote wana ndinga kali, wote wanaishi masaki.Jamii forum Haina matajiri
Umeongea ukweli ila wajinga hawatakuelewa mdauWenzetu huko Ulaya ukigombea mara Moja ukashindwa hutakiwi kugombea Tena. Ni Tanzania pekee ambapo mtu anagombea Kila mwaka. Leo badala ya kutafuta chuma kipya Cha kuitikisa CCM. Bado tuna mawazo mgando ya kutaka Freeman au Lissu wagombee Tena kwa sera zipi mpya?
Watu wamemzoea na hana jipya Tena anapaswa aendelee kuwa kiongozi wa chama ,lakini mchakato wa mgombea unapaswa kuanza sasa ili iwe surprise kwa CCM, Mimi kwa muono wangu ,CHADEMA wakae na Job Ndugai aingie ulingoni kama mbwai iwe mbwai then uchaguzi ukiisha tutajua Cha kufanya lakini kwa huyu Lissu au Freeman nawaambieni hatupati Jimbo hata Moja.
wewe hapo.Nitajie hata wawili tu
Huo mumeo hayupo tena kwenye ramaniWewe ndio huna akili inaonyesha umezoea kutumwa