Pre GE2025 Ni Job Ndugai pekee anaeweza kuishake CCM uchaguzi ujao! Muhimu ni wapinzani kuungana wamshawishi awe mgombea kupitia CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
1,604
Reaction score
3,715
Wenzetu huko Ulaya ukigombea mara Moja ukashindwa hutakiwi kugombea Tena. Ni Tanzania pekee ambapo mtu anagombea Kila mwaka. Leo badala ya kutafuta chuma kipya Cha kuitikisa CCM. Bado tuna mawazo mgando ya kutaka Freeman au Lissu wagombee Tena kwa sera zipi mpya?

Watu wamemzoea na hana jipya Tena anapaswa aendelee kuwa kiongozi wa chama ,lakini mchakato wa mgombea unapaswa kuanza sasa ili iwe surprise kwa CCM, Mimi kwa muono wangu ,CHADEMA wakae na Job Ndugai aingie ulingoni kama mbwai iwe mbwai then uchaguzi ukiisha tutajua Cha kufanya lakini kwa huyu Lissu au Freeman nawaambieni hatupati Jimbo hata Moja.
 
Unajua Hakainde Hichilema na Michael Satta waligombea mara ngapi?
John Mahma wa Ghana kagombea mara ngapi?
Trump kagombea mara ngapi?
 
Unamaanisha kuwa CHADEMA wameishiwa wagombea kiasi hicho mpaka wakakope Maccm mgombea? Tena mzee wa Kapernaumu?
 
Hapana hapana...tena Hapana....! TL anatosha tena sana Mama atajuta kumjuaa
 
Akili kisoda
 
Mbona mnampa pressure Lisu

Mwenzenu anataka kujiteua kuwa mgombea uraisi kupitia Chadema
 
Job Ndugai yupi?
Yule spika wa bungeni hafai hata kuwa kiongozi wa mtaa!
Aliyeondolewa uspika nae ni mnafiki tu!
Kifupi Job Ndugai hana impact kwa sasa!
 
Ulaya gani inayoizungimzia weye? Halafu Mzee Job Ndugai ana akili. HAWEZI kwenda upinzani. Kama hamna Mgombea Urais, basi muungeni mkono Mzee Hashim Rungwe! Ubwabwaaaaaa!!
 
Basi nishaamua nitagombea mimi ili niokoe jahazi la nchi Evelyn Salt jiandae tajiri mwenza utakuwa makamo wa raisi na sisi tule mema ya nchi.

Cabinet yetu yote itajaa matajiri wa JF.
 
reject
 
mnaogopa nini kwanini asigombee kupitia ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…