Pre GE2025 Ni Job Ndugai pekee anaeweza kuishake CCM uchaguzi ujao! Muhimu ni wapinzani kuungana wamshawishi awe mgombea kupitia CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Basi nishaamua nitagombea mimi ili niokoe jahazi la nchi Evelyn Salt jiandae tajiri mwenza utakuwa makamo wa raisi na sisi tule mema ya nchi.

Cabinet yetu yote itajaa matajiri wa JF.
Jamii forum Haina matajiri
 
Job Ndugai yupi?
Yule spika wa bungeni hafai hata kuwa kiongozi wa mtaa!
Aliyeondolewa uspika nae ni mnafiki tu!
Kifupi Job Ndugai hana impact kwa sasa!
Basi gombea wewe
 
Nchi ina wagonjwa wengi wa akili hii
 
Umeongea ukweli ila wajinga hawatakuelewa mdau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…