Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Wengi wanajambaHuyu Lissu ataua watu
Akamuulize Sumaye na LowasaWenzetu huko Ulaya ukigombea mara Moja ukashindwa hutakiwi kugombea Tena. Ni Tanzania pekee ambapo mtu anagombea Kila mwaka. Leo badala ya kutafuta chuma kipya Cha kuitikisa CCM. Bado tuna mawazo mgando ya kutaka Freeman au Lissu wagombee Tena kwa sera zipi mpya?
Watu wamemzoea na hana jipya Tena anapaswa aendelee kuwa kiongozi wa chama ,lakini mchakato wa mgombea unapaswa kuanza sasa ili iwe surprise kwa CCM, Mimi kwa muono wangu ,CHADEMA wakae na Job Ndugai aingie ulingoni kama mbwai iwe mbwai then uchaguzi ukiisha tutajua Cha kufanya lakini kwa huyu Lissu au Freeman nawaambieni hatupati Jimbo hata Moja.
Hiyo ulaya unayoizungumzia ni ulaya ipi ambayo hao wagombea wake hawajawahi kurudia kugombea baada ya kushindwa mara ya kwanza?Wenzetu huko Ulaya ukigombea mara Moja ukashindwa hutakiwi kugombea Tena. Ni Tanzania pekee ambapo mtu anagombea Kila mwaka. Leo badala ya kutafuta chuma kipya Cha kuitikisa CCM. Bado tuna mawazo mgando ya kutaka Freeman au Lissu wagombee Tena kwa sera zipi mpya?
Watu wamemzoea na hana jipya Tena anapaswa aendelee kuwa kiongozi wa chama ,lakini mchakato wa mgombea unapaswa kuanza sasa ili iwe surprise kwa CCM, Mimi kwa muono wangu ,CHADEMA wakae na Job Ndugai aingie ulingoni kama mbwai iwe mbwai then uchaguzi ukiisha tutajua Cha kufanya lakini kwa huyu Lissu au Freeman nawaambieni hatupati Jimbo hata Moja.
Labda akawe rais wa watani zangu wagogo,hafaiWenzetu huko Ulaya ukigombea mara Moja ukashindwa hutakiwi kugombea Tena. Ni Tanzania pekee ambapo mtu anagombea Kila mwaka. Leo badala ya kutafuta chuma kipya Cha kuitikisa CCM. Bado tuna mawazo mgando ya kutaka Freeman au Lissu wagombee Tena kwa sera zipi mpya?
Watu wamemzoea na hana jipya Tena anapaswa aendelee kuwa kiongozi wa chama ,lakini mchakato wa mgombea unapaswa kuanza sasa ili iwe surprise kwa CCM, Mimi kwa muono wangu ,CHADEMA wakae na Job Ndugai aingie ulingoni kama mbwai iwe mbwai then uchaguzi ukiisha tutajua Cha kufanya lakini kwa huyu Lissu au Freeman nawaambieni hatupati Jimbo hata Moja.
Msiwe mnakubali kutumwa upumbavu. Huyu muungane ninyi huko kwenu awe baba yenu kwa familia yenu.😁Wenzetu huko Ulaya ukigombea mara Moja ukashindwa hutakiwi kugombea Tena. Ni Tanzania pekee ambapo mtu anagombea Kila mwaka. Leo badala ya kutafuta chuma kipya Cha kuitikisa CCM. Bado tuna mawazo mgando ya kutaka Freeman au Lissu wagombee Tena kwa sera zipi mpya?
Watu wamemzoea na hana jipya Tena anapaswa aendelee kuwa kiongozi wa chama ,lakini mchakato wa mgombea unapaswa kuanza sasa ili iwe surprise kwa CCM, Mimi kwa muono wangu ,CHADEMA wakae na Job Ndugai aingie ulingoni kama mbwai iwe mbwai then uchaguzi ukiisha tutajua Cha kufanya lakini kwa huyu Lissu au Freeman nawaambieni hatupati Jimbo hata Moja.
Mafyampufyampu etiChadema asilia waendelee kugombea wenyewe wasichukue mafyampufyampu ya ccm watapigwa doro. Ccm imejipanga vema kula sahani moja na yeyote atakayegombea naye. Ndugai watamsagasaga tikitiki, bora lissu agombee, ni mgumu kula nao sahani moja
Wako wapi hao asilia?Chadema asilia waendelee kugombea wenyewe wasichukue mafyampufyampu ya ccm watapigwa doro. Ccm imejipanga vema kula sahani moja na yeyote atakayegombea naye. Ndugai watamsagasaga tikitiki, bora lissu agombee, ni mgumu kula nao sahani moja
Wenzetu huko Ulaya ukigombea mara Moja ukashindwa hutakiwi kugombea Tena. Ni Tanzania pekee ambapo mtu anagombea Kila mwaka. Leo badala ya kutafuta chuma kipya Cha kuitikisa CCM. Bado tuna mawazo mgando ya kutaka Freeman au Lissu wagombee Tena kwa sera zipi mpya?
Watu wamemzoea na hana jipya Tena anapaswa aendelee kuwa kiongozi wa chama ,lakini mchakato wa mgombea unapaswa kuanza sasa ili iwe surprise kwa CCM, Mimi kwa muono wangu ,CHADEMA wakae na Job Ndugai aingie ulingoni kama mbwai iwe mbwai then uchaguzi ukiisha tutajua Cha kufanya lakini kwa huyu Lissu au Freeman nawaambieni hatupati Jimbo hata Moja.
afrika unagombea hata mara kumi, hukukuona zambia, malawi, nigeria na kwingine? Kwa mfano mnataka nani agombee chadema zaidi ya lissu na mbowe? Kuna kitu inaitwa charismatic ndio hutoa mgombea kama katiba haina ukomo wa mwanachama kurudia kuomba tenaWenzetu huko Ulaya ukigombea mara Moja ukashindwa hutakiwi kugombea Tena. Ni Tanzania pekee ambapo mtu anagombea Kila mwaka. Leo badala ya kutafuta chuma kipya Cha kuitikisa CCM. Bado tuna mawazo mgando ya kutaka Freeman au Lissu wagombee Tena kwa sera zipi mpya?
Watu wamemzoea na hana jipya Tena anapaswa aendelee kuwa kiongozi wa chama ,lakini mchakato wa mgombea unapaswa kuanza sasa ili iwe surprise kwa CCM, Mimi kwa muono wangu ,CHADEMA wakae na Job Ndugai aingie ulingoni kama mbwai iwe mbwai then uchaguzi ukiisha tutajua Cha kufanya lakini kwa huyu Lissu au Freeman nawaambieni hatupati Jimbo hata Moja.
Kuzunguka koote kumbe unaiogopa CHADEMA. Mbow amegombea mara ngapi? Lissu je? Tena huyu watanzania bado wana kiu nayeWenzetu huko Ulaya ukigombea mara Moja ukashindwa hutakiwi kugombea Tena. Ni Tanzania pekee ambapo mtu anagombea Kila mwaka. Leo badala ya kutafuta chuma kipya Cha kuitikisa CCM. Bado tuna mawazo mgando ya kutaka Freeman au Lissu wagombee Tena kwa sera zipi mpya?
Watu wamemzoea na hana jipya Tena anapaswa aendelee kuwa kiongozi wa chama ,lakini mchakato wa mgombea unapaswa kuanza sasa ili iwe surprise kwa CCM, Mimi kwa muono wangu ,CHADEMA wakae na Job Ndugai aingie ulingoni kama mbwai iwe mbwai then uchaguzi ukiisha tutajua Cha kufanya lakini kwa huyu Lissu au Freeman nawaambieni hatupati Jimbo hata Moja.
Wenzetu huko Ulaya ukigombea mara Moja ukashindwa hutakiwi kugombea Tena. Ni Tanzania pekee ambapo mtu anagombea Kila mwaka. Leo badala ya kutafuta chuma kipya Cha kuitikisa CCM. Bado tuna mawazo mgando ya kutaka Freeman au Lissu wagombee Tena kwa sera zipi mpya?
Watu wamemzoea na hana jipya Tena anapaswa aendelee kuwa kiongozi wa chama ,lakini mchakato wa mgombea unapaswa kuanza sasa ili iwe surprise kwa CCM, Mimi kwa muono wangu ,CHADEMA wakae na Job Ndugai aingie ulingoni kama mbwai iwe mbwai then uchaguzi ukiisha tutajua Cha kufanya lakini kwa huyu Lissu au Freeman nawaambieni hatupati Jimbo hata Moja.
Kupigwa hakumfanyi awe na uwezo wa kuongoza nchiLisu hakuna binadamu anayeweza kushindana naye akamshinda .Labda Mungu aamue mwenyewe.
Hivi hua haujiilizi inakuaje mtu ana risasi mwilini na amepigwa nyingine kumi na sita zimechakaza utumbo na nyonga kama chekecheke halafu bado anasimama na kutetea haki na utu na utawala unaozingatia sheria na kuachana na utawala unaowapa binadamu sifa na utukufu kuliko Mungu. Leo hii watu wanaokosoa mpaka Mungu lakini Samia wanataka asifiwe tu na usipomsifia inashughulikiwa kama Ndugai na wapinzani.
Kama uchaguzi ungekuwa wa haki JPM angeweza akamshinda Lisu kwa kura chache sana au asingemshinda kabisa.Nguvu ya JPM ni kwa sababu ya kupigania wetu wa chini . Hiyo ni kama kujitoa sadaka na ndicho Mungu anachotaka maana matajiri hawana shida yoyote zaidi ya kutaka kupindisha pindisha sheria na kulinda mali na biashara zao hata kama ni haramu .
Lisu kwa wazi anasimama miaka yote katika maisha yake kutetea wetu wanaonewa na kudhulumiwa na mifumo kandamizi ya kifisadi . Huyu Roho wa Mungu anasimama juu yake .
Hii nchi ikimtupa Lisu itapata Laana kubwa sana kama Kongo baada ya kumwaga damu ya Patrice Lumumba. Mpaka Leo Kongo ina laana inayowatafuna kwa vizazi.
Mama ameshashiba akapumzike awashukuru Watanganyika wamempa utajiri wa milele na familia yake . Asikae mpaka akakufuru Mungu
Hilo sio jambo la kujivunia ni ujingaafrika unagombea hata mara kumi, hukukuona zambia, malawi, nigeria na kwingine? Kwa mfano mnataka nani agombee chadema zaidi ya lissu na mbowe? Kuna kitu inaitwa charismatic ndio hutoa mgombea kama katiba haina ukomo wa mwanachama kurudia kuomba tena