Ni juisi gani ambayo unapendelea kuitumia/kunywa kwa wingi?

mwili wetu umetengenezwa uwe Alkaline, hii kitu au michanganyiko ya aina hii hasa ukinywa kabla ya kula chochote huwezi kubaki kawaida. magonjwa madogo madogo utayasikilizia jf tu.
Hii ni kitu mzuri ingawa bado kutumia. Alkaline ipo all mucus in our body is alkaline solution.
 
Shukrani nitafanya hivyo
 
Napenda juice ya mme ake mie ina afya sana
 
jamani tulikuwa tunanywesha wadogo ilikuwa kama adhabu kwetu mimi na marehemu pacha wangu(alifariki kwa circle cell akiwa mdogo) tulikuwa tunawekewa na maziwa
 
juice ya nanasi au maganda yake,juice ya bungo,juice ya miwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…