Ni juisi gani ambayo unapendelea kuitumia/kunywa kwa wingi?

Ni juisi gani ambayo unapendelea kuitumia/kunywa kwa wingi?

mwili wetu umetengenezwa uwe Alkaline, hii kitu au michanganyiko ya aina hii hasa ukinywa kabla ya kula chochote huwezi kubaki kawaida. magonjwa madogo madogo utayasikilizia jf tu.
Hii ni kitu mzuri ingawa bado kutumia. Alkaline ipo all mucus in our body is alkaline solution.
 
nimeweka video sample za mama Dr mkufunzi wa hiyo makitu. Lecture zake ziko kama 11 hivi akifafanua kwa kina.

hakuna procedure za ajabu mkuu.
Hakikisha ni safi, changanya brend kunywa usiweke sukari wala usichuje.
mwili wako ukiwa unatembelea kwwnye alkalinity magonjwa mengi utayaepuka na utakuwa imara.

unaweza kujipa hata wiki kila asubuhi unakula hiyo sharubati (juice) na NUTS(karanga/korosho/almond) utaurudisha mwili katika viwango vyake na ni usafi wa ndani utakaopunguza Bills nyingi za hospitali.
Shukrani nitafanya hivyo
 
Napenda juice ya mme ake mie ina afya sana
 
concept iko hivi mkuu.
Mungu alimwambia Adam na hawa watakula Mboga za Kondeni.
Hakuwaumbia jiko la kupikia ila alitegemea watafune wapate first class nutrients.

sasa wewe badala ya Kutafuna majani mabichi kitu ambacho sio momba kiutamaduni unazitafuna kwa njia ya Juice.
Kuna formula unaweza kuzipanga ukawa unakula breakfast bila kuwasha moto na ukawa na afya tele tu.

ndizi mbichi iliyopikwa ni kitu tofauti na ndizi mbichi ukiila katikati ya juice.
Kiazi kibichi ni habari tofauti na kiazi kilichopikwa.
matembere,mchicha,kabichi mbichi ni vitu toafuti kabisa na hivyohivyo vikiwa vimepikwa (palatable but less nutritious ).


jaribu mkuu. Juice ya matembele sio kwa wenye upungufu wa damu tu. unaweza kuyafanya kama ingredient ya juice yako home.
jamani tulikuwa tunanywesha wadogo ilikuwa kama adhabu kwetu mimi na marehemu pacha wangu(alifariki kwa circle cell akiwa mdogo) tulikuwa tunawekewa na maziwa
 
juice ya nanasi au maganda yake,juice ya bungo,juice ya miwa
 
Back
Top Bottom