Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Wewe ni Rehema eenh??
Hapana mdogo wangu,
Ila nimeshalihisi lako.!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mdogo wangu,
Ila nimeshalihisi lako.!
Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..limekaa kipole Sana aisee.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]halafu jina lako limekaa ki saint sana, huyo lazima apite hapa.
Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..limekaa kipole Sana aisee.
Lizarazu sijamuona muda mrefu sasa.
Natamani apite hapa.
Unaweza ukaoa wote mkuu mbona linawezekana
Unashindwa hata na Mchungaji mmoja anayefahamika kwa jina la, David Muhingilwa, Raia wa DR Congo, anayeishi maeneo ya Tegeta Salasala, ameoa wake watatu hii habar hipo wala si uzushi
Kama we ni muislam pia unaweza
Waoe tu wote mkuu bado nafasi unayo ya kusafisha makosa
Unaweza ukaoa wote mkuu mbona linawezekana
Unashindwa hata na Mchungaji mmoja anayefahamika kwa jina la, David Muhingilwa, Raia wa DR Congo, anayeishi maeneo ya Tegeta Salasala, ameoa wake watatu hii habar hipo wala si uzushi
Kama we ni muislam pia unaweza
Waoe tu wote mkuu bado nafasi unayo ya kusafisha makosa
Haha..Ukute ndilo lako hilohilo
Hivi that story of yours una wake 3 ni kweli mkuu??Kuna uzi niliwaletea humu "mwanamke akipenda kapenda ukweli" nikioa hawa inamaanisha nitakua na wake sita kama kianzio na bado safari inaendelea..... Brother.... Maisha yangu mm mwenyewe nayashangaa sana
Haha..!Wewe ni Rehema eenh??
Haha..!
Mumie usinifanyie hivii mbele za watu 'tafzali' sana!!
Mkuu una laana unatembea nayo kizazi chako kitalipia.
Ndio habari ndo imetaja eneo hilo ni miezi kadhaa iliopita nadhan mwaka huuTegeta Salasala??
Mkuu Cole nani huyo anakuficha jamani??
Nikwambie tu ukweli utawapa shida sana hao binti za watu ni wanaume wachache sana wanaoa mwanamke mwenye mtoto hadi hapo ulipofikia acha mkuu wanatoshaKuna uzi niliwaletea humu "mwanamke akipenda kapenda ukweli" nikioa hawa inamaanisha nitakua na wake sita kama kianzio na bado safari inaendelea..... Brother.... Maisha yangu mm mwenyewe nayashangaa sana
FURUSHI.
Hahaha..labdaHaha..
dhehebu lako haliruhusu jina langu mumie.!! Hivyo litakuwa siyo lenyewe tu.!!